Search results

  1. F

    Vigogo wa tanesco waliosimamishwa wamwaga michuzi kwa wabunge wawatete

    Tanzania sio nchi ya kupata tatizo la umeme. Mbona Dr. Idrisa aliweza ingawaje alipokea TANESCO katika hali ngumu kutoka kwa NET-GROUP? Hawa ni wezi tu na hawezi lolote... Injinia Mhando aliwekwa na Lowasa na Rostam... na Ngeleja na Jairo, wote wana tuhuma za Rushwa, hili linajulikana... leo hii...
  2. F

    Spika Makinda akataza kamati ya bunge. Kufuatilia swala la Mihando ( Liko mahakamani)

    Mimi ninawashangaa sana wabunge wanaotetea uongozi mbovu na uzembe wa uongozi wa juu wa TANESCO. kampuni inakusanya wastani wa Bil80 had 100 kwa mwezi ni kiasi cha trilioni 1.2 kwa mwaka inashindwa kujipanga na kuombaomba mikopo kila kukicha. Dr. Idrisa ndiye aliyeiweza TANESCO, yeye aliikuta...
Back
Top Bottom