Search results

  1. K

    Kanuni za ndoa za kisasa.

    Mnagawa vyombo
  2. K

    Kanuni za ndoa za kisasa.

    Anaandika mkuu wa kaya! Kinyangesi. _______________________ Kanuni ya ndoa za sasa: Mwaka wa kwanza: mume anaongea mke anasikiliza, Mwaka wa pili: mke anaongea mume anasikiliza, Mwaka wa tatu: mume anaongea na mke anaongea majirani wanasikiliza, Mwaka wa nne: mume anaongea, mke anaongea...
  3. K

    Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

    Hahahaa! Fumbo hilo
  4. K

    Wanawake muelewe, sio kila mwanaume anayekupa hela anakutaka kimapenzi

    Huu uzi sio sehemu ya kuombea nafas za pm
  5. K

    Wanawake muelewe, sio kila mwanaume anayekupa hela anakutaka kimapenzi

    HISTORIA YENYE MAFUNZO JIFUNZE KITU. Kuna mdada alikutana na mkaka wakat wako safarini, yule kaka akamuomba mdada namba ya simu njian akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofika stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao alikokuwa abaelekea. Basi wakawa wanawasiliana kila siku. Siku nyingne...
  6. K

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Hahahaa! Utajikuta unaimaliza jamhuri yote ya muungano
  7. K

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Swali limeshajibiwa
  8. K

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Hahahaa! Sie wahenga bhana
  9. K

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Uwe na option B
  10. K

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Qurie nani kakuita huku lakini? Kwani story imeandika walichepuka na mbuzi? Lengo la story ni kuelimisha sio uchambuzi wa wahusika. Eboh!
  11. K

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Qurie nani kakuita huku lakini? Kwani story imeandika walichepuka na mbuzi? Lengo la story ni kuelimisha sio uchambuzi wa wahusika. Eboh!
  12. K

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Hatari mkuu!! Hawa viumbe, ni kuombeana tu
  13. K

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Wanawake bhana, hujaelewa kichwa cha habari??
  14. K

    Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa babaake, mwisho babaake akamwambia basi ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi...
  15. K

    Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

    Sawa ndugu yangu!!
  16. K

    Nakukumbusha mambo 50 kuhusu mkeo

    Upo sawa kabisa. Mimi ni mwanaume, ila sipendi wanawake wanyanyaswe katika ndoa. Ndoa sio jela, inapaswa kuwa paradiso kwa mume na mke kabla kifo hakijatenganisha. Uwa najiuliza nitajikiaje nikiona dada yangu au binti yangu akija kunyanyaswa? Hivyo ukiheshimu mwanamke na kumtunza vema ni heshima...
Back
Top Bottom