Maskini, mmebaki na majungu tu hoja hakuna. Watu wanadiscuss hoja, wewe unatumbukiza fitina. Ghafla CDM imebadilika kuwa jumba la wajinga. Poleni sana!
Nadhani chadema inaweza ikawa chama hatari sana kwa demokrasia ya nchi hii. Kwa hiyo hamtaki vyama vingine isipokuwa chadema, mtaweza? Kumbuka mbeya ndiyo inaongoza kwa utitiri wa madhebu ya dini. Mbeya is naturally pluralistic!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.