Search results

  1. M

    Hongera sana mbunge wa Iringa mjini Mheshimiwa Peter Msigwa kwa hili.

    yoooote ya msigwa na kabati ni nonsense!!!!!!!!!!!!. Hivi wamewatumaaaa? Kiuasilia utoaji wa misaada na fadhila si majukumu ya wabunge eboo!! Kama ni hivyo, Billgate si angekuwa raisi wa dunia? Tusiruhusu akili ndogo ikatutawala, tujadili ya msingi na si blablah. We, in jf are critical...
  2. M

    Usia wangu kwa Zitto na washirika wake

    YALEYALEEE!!! Mmeamua kutumiwa na Viongozi WAZEE wa CHADEMA na wengine mmeamua kutumiwa na CCM Dhambi hii Lazima iwatafune. VIJANA si mmeamua kufikiri kwa kutumia "masaburi"!!!!!!! Lazima mkome. Msipo tambua matatizo ya nchi yetu mkiwa kama vijana katu hatuwezi songa mbele. Chama ni muunganiko...
  3. M

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    WENGI MLIINGIA CHADEMA KIMKUMBO NA KIMASLAHI ZAIDI. KABLA YA KUCHANGIA., JIULIZE KAMA UMERIKIRI NA KUCHANGANUA KW UPEO WAKO WA JUU ZAIDI. UANASIASA NI UTUMISHI, UKIBISHA MUULIZE JK NYERERE. VIONGOZI WENGI WA CHADEMA WAPO KIMASLAHI ZAIDI. Hasa kuna Mzee mmoja, nadhani amelewa umaarufu na ndo...
  4. M

    Adam Chagulani (Diwani aliyetimuliwa CHADEMA) aanza kufunguka...

    Ukweli ni kuwa,ujumbe uliotumwa na CDM taifa haukutaka kuutafuta UKWELI. Ila nafasi bado ipo, tafuteni UKWELI kwani sikuzote ukweli unatabia ya kujidhihilisha hata usipotafutwa. Kwahili la CDM, Mwanza, Mh sana DR SLAA, Kiukweli umeteleza
  5. M

    Kauli ya Chagulani dhidi Manyerere (Council Mwanza) ni sahihi kwa afya ya CHADEMA?

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Na kwamuungwana ni ngumu nyeusi kuita nyeupe!! Hivi kunamkazi gani wa Mwanza asiyejua madudu yaliyofanywa na aliyekuwa meya. Think Deep CHADEMAS!!! Mbona baada ya kukemewa na CHAGULANI, baadae Meya alioondolewa? Tatizo walitaka eti Meya akaripiwe kwenye...
  6. M

    POLISI Mwanza Wapiga STOP Mkutano wa Hadhara wa CHAGULANI: Hofu ya makundi yatanda CDM

    Kwenye hili la mwanza nionavyo mimi,kamati kuu na tume iliyotumwa mwanza vimeshindwa kutambua kiini cha mgogoro uliopo. Ukweli ni kuwa, chadema mwanza kunaviongozi wasiopenda mawazo mbadala na kukosolewa. Hivi wamejiuliza kwanini huko nyuma kuliibuka jumuia ya vijana chadema ilihali kuna...
  7. M

    Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

    TENDWA kesha tendwa na wakuu wake. Hivi ulitegemea atoe tamko gani? Zamani busara ilitambuliwa kwa uwepo wa mvi kichwani, ila kwa leo wasahahu. Matamshi yake leo, yalitosha kuamini kuwa alikua anakikimbia kivuli chake. Ila msimlaumu saaana, kwani yaonekana ni miongoni mwa waliosoma lakini...
  8. M

    Chadema Mwanza inahesabu siku za uhai wake trust me....

    Amekimbia kivuli chake!!!!!!!!!!! Nani alimwambia CHADEMA kinahitaji mfadhili? Hivi unajua malengo ya hawa wafadhili uchwara kwa mustakbali wa chama? Kufifia kwa CCM, hasa kumetokana na kuwaendekeza hawa wafadhili! Chadema kimejipambanua kuwa zaidi ya chama. Inavyoonekana ni miongoni mwa...
  9. M

    Nape Nnauye akielezea "Fedha Chafu" za CHADEMA

    Hapa Mheshimiwa Nape, kweli umefanya uenezi wa chama. Hongera kwa hilo. Naamini umeweza kuwaaminisha baadhi ya watanzania kile ulichomaanisha. Ila kwa weledi wa mambo (like I and I), duh!! unakazi kubwa ya kufanya. Hiv utatuaminisha vip kuwa hizo fedha za CDM ni haramu ili hali tunaju issue ya...
  10. M

    Kuhusu Tabia ya wanasiasa, Mh. Wenje you are very right

    Hivi unachangia unaloelewa au ulilosikia? Wenje kasema sera ya elimu inaelekeza lugha ya kufundishia elimu ya msingi ni kiswahili, mbona elimu ya msingi kwenye english medium school inatolewa kwa lugha tofauti na maelekezo ya sera? Au kwakuwa watoto wetu (vionggozi) wanasoma huko? Basi kama ni...
  11. M

    CCM toeni majibu ya mambo haya kabla ya 2015

    You need to think deep and critically. JF ni jukwaa la Weledi.
  12. M

    Kuhusu wanahabari kuigomea serikali na kundamana kupinga Mwanahalisi kufungiwa

    Duh! kumbe bado unasumbuliwa na kasumba za kale! Kumbe bado unadhani ufahamu unapatikana pekee kwa kuingia darasani? Sasa nini nafasi ya experiance? Umakini wa mtu haupimwi kwa kiwango cha elimu aliyonayo, bali kwa uwezo wake wa kuibua na kutatua changamoto zinazokabili maisha yake. Kwa hili...
  13. M

    Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

    sorry nimepost mara2, ni special kwa comment ya JIULIZE KWANZA
  14. M

    Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

    Jadili mada na si mtoa mada. JF ni jukwaa la uweledi na si blaablah. Naona wengi wanahoji Zitto kuwa na Hammer kama ni ishara ya ufisadi? KWELI yawezekana, ila mnaushaidi? Nikili hammer yake sijawahi kuiona, ila haiwezekani kuwa ni yale mamitumba oldmodel ya Dubai? Hv kama ni hayo, Kweli Zitto...
  15. M

    Uzalendo kwa Taifa letu - Tanzania

    Si umeshasema ni tuhuma? Tuhuma zaweza kuwa wrong. Nothing to comment!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  16. M

    Tusimsakame Zitto, Maamuzi ya Waziri kuhusu TANESCO mbali ya kuwa muhimu kuna makosa ya kisheria

    Duh!! ujinga mzigo. Watz tusiwe wepesi wa kuhukumu bila kutafiti na kuujua ukweli GAUTAMA BUDDHA-Mwanzilishi wa imani ya kibudha aliwahi sema" Usiamini jambo eti kwakuwa mtu maarufu ametamka,au mtu unayemuamini ametamka au vitabu vitakatifu vimeandika, amini jambo hasa kwakuwa umelichunguza na...
  17. M

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Nimeona nami nijitokeze humu JF kwa mara yakwanza nitoe yangu machache kwa wanajamii. Kweli nimegundua wengi wa wachangiaji ni mashabiki wa kisiasa tu, uchambuzi na uchanganuaji wao wa mada umekuwa wa kishabiki zaidi. Ndugu watanzania wenzangu hebu basi tusukumwe na uzalendo na upendo wa kweli...
Back
Top Bottom