Search results

  1. U

    Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

    kweli walimwengu waongo, hakuna ACP anayeitwa chagonja, pili huna uhakikika na elimu yake, tatu soma public sercvice act ujue watu wanaoruhisiwa kugoma kisheria, nne usikurupuke kuandika mambo ambayo huyajui
  2. U

    Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

    jeshi la polisi ni kweli halihusiki mbona dr.kwa kauli yake amesema tuhuma zinazosambazwa kuhusu kamanda msangi sio za kweli na yeye wala hajasema kuwa arudishiwe simu yake na wallet yake na kamanda huyo.
  3. U

    ACP Hemed Msangi...

    Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa...
Back
Top Bottom