Search results

  1. S

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    FJM that was a good analysis ndio mambo tunataka kusoma humu wana JF! BIG UO BRO!!!
  2. S

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    HABARI ZA MUJINI Siii kawaida yangu kuanzisha mada kwa tetesi na habari zinazosambaa mitaani ndio maana naiweka huku...Kumekuwepo na habari zikisambaa kwamba Dr. Ulimboka mwenyewe yupo Usalama wa Taifa!...Hii inafuatia hotuba ya rais na serikali kusema kwamba serikali haikuhusika kwa maana ya...
  3. S

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    RE: Haya mambo yanashtua sana,CCM wanataka umwagaji damu ufanyike Kwa kweli kama ni kweli nchi yetu inaelekea pabaya. Of course Mnyika anatafutwa kwa kusema Rais Kikwete ni dhaifu which was true maana hata Mtanzania wa kijijini anajua jamaa ni dhaifu kwisha kazi. Leo nimesikiliza Clouds FM kuna...
  4. S

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar inatoa wapi madaraka ya kuridhia matumizi ya bendera ya Tanzania

    tanga kwetu wewe unaishi wapi tena? Juzi mwanasheria Mkuu amesema Zanzibar ni nchi kule bungeni Dodoma mbele ya Waziri Mkuu Pinda aliyewahi kusema Zanzibar si nchi. Huyo Pinda alikaa kimya kukubaliana na maneno ya Attorney General. Kwani wewe hukusikia habari hizo mbona unaturudisha nyuma tena...
  5. S

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar inatoa wapi madaraka ya kuridhia matumizi ya bendera ya Tanzania

    Jamani hasa ndugu zangu wa Tanganyika tudai Tanganyika yetu irudi tu mambo yote hayo yataisha. Hawa akina Membe na wengine tuliowapa madaraka wanaibembeleza sana zanzibar na nasikia wote hao wana vimada kwenye balozi zetu nje amabvyo wamevitoa kutoka huko visiwani. Some years back I was London...
  6. S

    Mbio za mewnge wa Uhuru Hueneza UKIMWI

    Kama madhumuni ya Mbio hizi za Mwenge wa Uhuru ni kuhamasisha wananchi kuchangia miradi ya maendeleo, ni maoni yangu kwamba tubuni mbinu m'badala isiyoambatana na ngono za fujo kwa vijana wetu. Kama madhumuni ni kutukumbusha historia ya Tanzania, basi tuandike kumbu kumbu zetu na tudhamirie kwa...
  7. S

    Mch. Msigwa 'afyatuka' Bungeni...

    Wewe Starn ni mpumbavu na huna akili kabisaaa. You dont understand what Msigwa is saying. Hata baba yako aliyekuzaa naye hana akili kama wewe. You a stupid pig and it seems you are living like a pig and you will die like donkey. watu wanatoa comment za maana wewe unaongea utumbo umeniudhi sana...
  8. S

    Bungeni Live: June 19, 2012

    Lusinde ni jamaa yangu but problem yake ni short sighted, illiterate, stupid and uncivilized kabisaa tena anatuangusha ndugu zake kwa ujinga anaoongea. Tukikutana nitamwambia ujomba wetu uwe mwisho tuwasiliane na mama yake tu na kama nae anamuunga mkono huyu **** basi bwana undugu ufe kuliko...
  9. S

    Mabomu ya machozi yarindima tena Zanzibar leo

    Ndugu yangu Lyimo umesema kweli tupu. Kama unasoma makala zangu kwenye JF nilikwisha sema kuwa Uamsho wanachochewa na viongozi wa Serikali ya Zanzibar. Hizi vurugu na chokochoko ni kuwasha moto Polisi waue mtu angalau mmoja then utaona vurugu itakayotokea na kwa mtindo wa kisanii wa JK huo...
  10. S

    Hatutawasaliti wazanzibari - Maalim Seif

    Huyo ndiye Maalim seif ambaye ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na anadiriki kusema yeye na viongozi wa zanzibar wapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya Znzibar kama vile Viongozi wa Tanganyika wako kutetea maslahi ya Tanganyika. Jamani huyo ndiye makamo hebu muulizeni Tnganyika iko wapi? Huu...
  11. S

    Kwa viongozi wa zanzibar.

    Jamvi you are great and I liked your talk. Kama wanainchi wa kawaida wa Zanzibar wanaona hivyo basi madai ya Wazanzibari jamani yasikilizwe. Ingawa mimi ni muumini wa Muungano maneno yako Jamvi yameni-touch sana. CCM na Viongozi wanang'ang'ania Muungano kwa maslahi yao binafsi ndio maana...
  12. S

    Online Puppets: Kumbe Tunao "Puppets" Wengi Kuliko Tunavyojidhania!

    Pasco maelezo yako ni marefu mno ila 48 years after The Union ni ajabu sana leo bado tunarudi nyuma kuchunguza Muungano uliletwa vipi. I thought miaka 48 hii ingekuwa ni mjadala wa jinsi ya kuboresha Muungano na si vinginevyo. Jamani kama Muungano umekuwa mzigo hasa kwa ndugu zetu wa Zanzibar...
  13. S

    Rais Mstaafu Mwinyi: Watanzania Wamevimbiwa Raha

    Nadhani Mzee Mwinyi alisema maneno hayo wakati wa zile vurugu za wana-Uamsho kule Zanzibar wiwki iliyopita. Kama ndivyo namuonea huruma huyu mzee Ruksa. Yeye na viongozi wenzake kutoka Zanzibar ndio wanachochea watu wafanye fujo za kuua Muungano amini usiamini. Lakini pia sio siri wanaofaidi huo...
  14. S

    Probably this diplomat is the next President of Tanzania

    Tatizo lako Kijana Msomali kumbe hujui kabisa siasa za Tanzania. I can confirm without knowing you and where you are that you are living outside Tanzania. Kwanza unafikiri CCM tu ndio itaongoza 2015. You may be proved wrong my friend. You seem to be out of touch of the reality na maisha...
  15. S

    Shibuda asisitiza yeye ni Rais 2015

    Shibuda ni mpiga makelele tu wa CCM. Its time for CDM to chuck him off before its too late anatuharibia mageuzi tunayohitaji nchi hii badala yake tunapoteza muda kusoma maneno ya kipumbavu ya huyu Shibuda. CDM mfukuzeni kwenye chama bora samaki mmoja akioza kuliko tenga zima!
Back
Top Bottom