Kama hivyo ndivyo sasa mbona hingii bungeni?...na Kama hivyo ndivyo pia sasa kwanini nafasi Yake ya uwaziri kivuli wa mambo ya ndani imejazwa,kwanini wasisubiri maamuzi ya court of appeal?
Umepanick?....nimekmbia CDM wakuu wa arak wa watueleze kwanini hawaitishi uchaguzi mwingine wa wabunge ili wachague mjumbe mwingine wa kamati kuu tofauti na huyu?....Kama bado anatmbulika Kama mbunge kwanini jana ameteuliwa mbunge mwingine kuchukua nafasi Yake ya uwaziri kivuli wamambo ya ndani?
Kwani CDM wanakuwaga na aina Fulani ya wabunge tu?...ache udhaifu wewe, LEMA ni mbunge wa wananchi wa Arusha na wananchi wengine wamemkataa na sasa anatakiwa asubiri mpaka atakapokuwa mbunge tena baada ya Khufu ilia adhabu Yake ya kutokugombea mika mitano ijayo....
sifa Yake kubwani kwamba amesoma Cambridge university of London na amechukua advance diploma in proper management of people....hiyo ndoo sifa Yake kubwani anayonizidi Mimi.
Swali la msingi ni kwamba je, LEMA ni mbunge au sio mbunge?....ukivuliwa ubunge maana Yake unapoteza sifa zone za kibunge, ndoo maana Jana kambi ya upinzani imemteua mbunge mwingine kusikia uwaziri kivuli wa mambo ya ndani badala ya LEMA...sasa kwanini isimchague na mjumbe mwingine wa...
Wapuuzi tumekutana...Mimi nimesema ukweli kuwa LEMA hapaswi kuendelea kuwa mjumbe wa CC ya chadema kwa kujibu wa katiba na wewe umekuja kuonyesha upuuzi wako kwa outdrew UNO ga...hi Gera sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.