Search results

  1. NingaR

    Msaada jinsi ya kudukua WiFi

    Threads kama hizi ndizo zinazo dhoofisha hili jukwaa.
  2. NingaR

    Msaada wa kurudisha version ya wasap ya zaman

    Hii update na muonekano mpya wa WhatsApp umeudhi watu wengi sana, Mark baada yakushindwa kuinunua Snapchat amekua akifanya kila namna ili Apps zake ziwe kama Snapchat, alianzia Instagram na sasa amefika WhatsApp. Kawa watumiaji wa Android na kamama umeroot simu yako fanya hivi kurudisha...
  3. NingaR

    Maelezo ya ku- root Android phones

    Try searching for CF-Autoroot Galaxy A7, binafsi sifahamu namna ya kuroot
  4. NingaR

    Jinsi ya kujua simu imetumika mda gani.

    ni i9505, achana na hizo za exynos wala za Snapdragon 800, wala si GPE au SE.
  5. NingaR

    Jinsi ya kujua simu imetumika mda gani.

    Uko sahihi mkuu, hapo miezi kadhaa ndio kinatofautisha. Nikupe mfano Samsung Galaxy S4 ilitoka March 2013 ikaingia sokoni April, mwezi December mwaka huohuo nilinunua Samsung Galaxy S4 na ilikua na Manufacturing date ya October 2013 so utaona simu inaweza kua same model lakini ikawa na tofauti...
  6. NingaR

    Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

    Mkuu mie nae taka kununua simu kwaajiri ya kupiga na kupokea, SMS, na ku browse email kidogo niangalie yote hayo??
  7. NingaR

    Jinsi ya kujua simu imetumika mda gani.

    Mkuu manufacturing date ni tofauti na hizo zinazoandikwa kwenye mitandao, kila simu ina manufacturing date yake pekeake, mfano simu inaweza kua imetoka mwaka 2015 lakini units zikaisha kisha mwaka 2016 zikatengenezwa zingine kwa mantiki hii hizi za 2016 zitakua na manufacturing date tofauti na...
  8. NingaR

    Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

    Baki na Chrome tu Mkuu
  9. NingaR

    Android system webview

    https://www.quora.com/What-is-the-Android-system-WebView-app-and-how-can-I-use-it
  10. NingaR

    Msaada wa haraka tafadhali kwenye PC yangu.

    Hilo ni tatizo la USB Drivers mkuu, hasa hasa MTP Drivers, je ulikwisha install drivers zote?
  11. NingaR

    Meet Google Nexus 6P

    Billionaires Club!!
  12. NingaR

    Nitawezaje Kufanya updates kwenye Tecno phantom Z

    Tena Android 5.1 hawa ndio wamekua wa kwanza kupata Android 5.1.
Back
Top Bottom