Tatizo la bajeti litaendelea kuwepo hadi Bunge littakapokuwa na uwiano sawa wa wabunge, walau wapinzani wangekuwa more than one third. Naamini yana mwisho, na muda si mrefu 2015 watajuta kuzaliwa. Watanzania wa 2010 si wa 2012, Waanche waendelee na sera yao, TUMEWEZA, TUNATHUBUT NA TUNASONGA...
Bravo Mnyika, nimekubaliana na kauli ya kuwa Raisi wetu amekuwa Dhaifu ndiyo maana nchi yetu imefika hapa tulipo, hali za maisha zinazidi kuwa mbaya zaidi. Pennye ukweli tuseme, tuache woga, tusipende kumwambia mambo uko kimoyo tunasikitika. na mitaani tunasikitika. Raisi akifanya vizuri...
Bravo Dr. Slaa, mwanzo mzuri, tuendelee kujipanga, maana bila maandalizi, kumbuka kuna majangili waweza kutupora tena. Tuhimize vijana kujiandikish mapema, na hiyo tume ya uchaguzi iwe huru, hapo sawa, ushindi ni wetu
Tanzania wabunge wa kusema ukweli, kama mmekubaliana lakini waziri anafanya yake mwumbue hadharani.
Kwa maelezo machache niliyoyasoma hapo juu hayahitaji uwe CCM wala CHadema kukakataa bajeti hiyo, swala Muhimu ni uzalendo. Tukubaliane kwamba tunahitaji wabunge waseme hapana tuanze na moja...
Ni jembe kweli, sasa kazi imeanza. Nafoikiri CCm watajinnyonga. Nimewasikia asubuhi Vijana ndo wanaamka ya kuwa Budget ya mwaka huu iseme kiasi gani itaennda kwa vijabna,, Walikuwa wapi siku zote.
It is a shame for the Prime minister, he promised to talk the whole issue today, very unfortunitely he did nothing..
I think now it time for Zitto and others to take step ahead. Aibu tupu. Watanznia tuamke maana huu ni uhuni wanafanya, nimeamini maneno niliyosoma jana ya kuwa JK amesema upepo...
Bravo Chadema, ndo mkombozi wetu. Magamba yatavuka mwaka, Sipati picha, Pale Waziri mkuu atakapovuliwa gamba. Big up. Mungu yuko upande wetu. Peopleeeeeeeeeeees Power!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.