Search results

  1. L

    Mabadiliko yatamfikia Nape Nnauye

    Salaam! ni ukweli usio pindika, kua kila mwanadamu anapitia mabadiliko na mabadiliko huwa hayana hodi, unaweza ukayapinga leo, kesho ukayakubali naamin katibuvwa itikadi atayafuta mabadiliko na alishaanza kuyatafuta tangu zamani bila kujua, siku akiona watu wote wameyapata atakuja ungana na...
  2. L

    Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

    Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
Back
Top Bottom