Search results

  1. A

    Uchaguzi bungeni umetoa Funzo

    .Pia ndoa ya CCM na CUF inaimarika . ndoa ipi ilioimarika katika kundi lile la upinzani ukimtoa kessy wenye uwelewa wa mambo kujiamini na uzoefu katika mambo ya kisheria na aliejieleza vzr ni nani jibu na twaha taslima kaka CDM walipeleka mtu sie asiejua ata kujieleza CUF walistahiri kutokana...
  2. A

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    kishoga ndio nn au ndio hasira za kushindwa ka komu kaka matusi ayajengi
  3. A

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    vp ya chadema na NCCR kessy katoka NCCR au ni ndoa na CCM imeishia wapi Taslima na Kessy walistairi kushinda walijieleza vzr wanauwelewa wa mambo tofauti na komu ambae ata kujieleza awezi jamani CUF ilimchagua mtu makini na NCCR ndio maana wamevuna walicho panda.
  4. A

    CHADEMA wajiondoa kugombea ubunge - EALA

    Chadema wamechungulia wameona watashindwa vibaya wanakuja na janja ya nyani sababu kuu wamechagua mtu asie na mvuto ndio maana wanahaha sasa
  5. A

    kesho ni zamu ya CUF kuingia bunge la EA

    kesho ni kesho bunge la tz linapiga kura za kuchagua wawakilishi wa bunge la east africa kwa hali inavyoendelea wawakilishi kupitia vyama vya upinzani chama cha CUF kupitia mgombea wake wakili mashuhuri ndg Twaha Taslima ndicho kinapewa nafasi kubwa ya kushinda,sababu zinazopelekea kushinda...
  6. A

    Mgombea wa TLP ananafasi kubwa ya kumshinda Komu Ubunge wa Africa Mashariki

    tatizo komu ajulikani cv haijulikani apa tunacho angalia ni sifa za mgombea si chama iv CDM hawakuona mtu mwingine isipokua komu uwezi kumfananisha na Taslima wa CUf mwanasheria nguri hapa Tz je unamfananisha na komu Dr mlindoko nae yupo ju sa tatizo si ccm tatizo lipo kwenu CDM kushindwa...
  7. A

    CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    kaka wataje hao vijana kwa msaada wa katibu ili mambo yaende vzr
Back
Top Bottom