Search results

  1. J

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Tuache unafiki,ni mara ngapi bajeti za nchi hii zimekuwa zikikoselewa lakini hupitishwa hivyohivyo na wabunge DHAIFU wa ccm bila kujali malalamiko ya wananchi,kulikuwa na haja gani kwa Mnyika kuanza kueleza matatizo yaleyale kilasiku yasiyosikilizwa,mh Mnyika amefanya jambo la maana kwa kueleza...
  2. J

    Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    Ccm wanafiki nashangaa kwanini watanzania hawalioni hilo!ngoja muone watakavyoingia mitini ktk hilo swala kwani mangapi yameshapita hvyohvyo
  3. J

    matusi ya lusinde Arumeru kumvua ubunge?

    kosa akifanya mwana CDM ila likifanyika na mwana ccm ni haki kabisa,hv kati ya Lema na msh**z* Lusinde nani katukana afu viongozi wa nchi wamekaa kimya kweli tunaongozwa na kichwa-nazi!
  4. J

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Huyu leader wa ikulu ametokea bagamoyo kule wanapoongoza kwa mipasho na kucheza rusharoho,sishangai kwa hyo taarifa mana ndo uwezo wake ulipoishia,in Lema i trust!
Back
Top Bottom