Search results

  1. U

    Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulu

    Mumgu tusaidie kujua ukweli wa Babdari yetu. Amina
  2. U

    Waziri Nundu agoma kujiuzulu!!

    Mhe Waziri anahitaji msaada kutetea maslahi ya nchi katika bandari ya Dar. Mungu aingilie kati juhudi zake.
  3. U

    Ugonjwa wa 'measles, mumps and rubella - MMR'

    Kwa uelewa wangu mdogo ugonjwa wa mmr hasa mumps dalili zake ni kuvimba kwenye mashavu. Je, kuna chanjo Tz?
  4. U

    Mheshimiwa JOHN MNYIKA atoa ufumbuzi wa tatizo la MAJI eneo la KIMARA hadi UBUNGO

    Michango iliyotolewa ni mizuri, ila sina uhakika kama Mhe Mnyika anafuatilia michango hii. kama ndiyo, ni vema akafanya majumuisho na kueleza hatua atakazochukua.
  5. U

    Mheshimiwa JOHN MNYIKA atoa ufumbuzi wa tatizo la MAJI eneo la KIMARA hadi UBUNGO

    :nono: Mhe Mnyika aoneshwe mradi wa maji almaarufu kama maji ya Wachina amabo umegharimu fedha nyingi lakini maji hayakutoka. Utafiti ufanywe haraka na ufumbuzi upatikane.
Back
Top Bottom