Search results

  1. A

    Natamani sana Mtanange kati ya Mnyika na Zitto jimbo la Ubungo

    au akagombee kwa wakwe zako
  2. A

    Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    wewe utakuwa umedata kojoa ukalale
  3. A

    Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama

    ukishangaa ya firauni utayaona ya ziito zuberi kigeugeu kabwe
  4. A

    Mwigulu Nchemba unatupeleka wapi? Exchange rate ya dola leo ni tsh.1,685/=

    huyu mchumi akili zake zinategemea upepo
  5. A

    Kamati Kuu CHADEMA kwazuka ugomvi, Mjumbe wa Kigoma apigwa

    huyo mjumbe kama kweli alikuwa anavujisha siri za kikao hiyo ni hatari. mtoa mada na wewe ni mjumbe
  6. A

    Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

    haya movie imeanza ngoja tusubiri majibu ya nape
  7. A

    Yanayojiri bungeni Dodoma tarehe 9 Juni, 2014: Kilichosemwa kuhusu picha chafu mtandaoni

    ha ha ha makinda sasa hivyi kila mbunge anamfata demu wake na kufuta picha zote walowahi kupiga kabla hakijanuka
  8. A

    ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

    ni kuhabarishana tuu au kununua shahada zetu
  9. A

    Kwanini Rais Kikwete anabadilisha sana Bodyguard?

    nashukuru kwa kutuelewesha
  10. A

    Ufisadi mwingine waibuliwa Bungeni!

    hiyo 2.8 b ni pamoja na nguo na raba za mazoezi alizozawadiwa makinda?? hy gym ni shiidaaaa aanze kwenda komba
  11. A

    Nape Nnauye auvuruga upinzani SAUT tawi la Mwanza na kuwaambia UKAWA hakuna juisi ya bure Ikulu

    mmmmh nape sijui kaumbwaje kila siku lazima aropoke sasa juice bora hata kinana kuliko huyu
  12. A

    Waziri aibiwa akiwa gesti

    ataje kiasi cha fedha taslim mrembo alojichukulia na thamani ya vitu vingine na mabastola jee. tunataka kujua yeye na malima nani zaidi
  13. A

    Mheshimiwa Spika

    mmh hili gumu nani atazomea hoja za upinzani zikiwa zinawakilishwa. posho itakuwa vipi na lile swali la kupitisha hoja wanaosema ndio ndiio na wanaosema siyooooooooooooooooooooooo wanaosema ndio wameshinda litafanyika vipi
  14. A

    Rais wetu yupo angani kila siku

    rais wetu kaamua ALE BATA MpAKA KUKU WASHANGAE. SHUGHULI ZAKE NI KUSAFIRI, AKIRUDI ANATEUA AU KUHANI MSIBA.
  15. A

    Nassari agawa madawati ya shule Meru, Madiwani wa CCM wayakataa

    kwa kweli inasikitisha watoto wakae chini kwa upuuzi wa mtu mmoja. kama anaona anamalizwa kisiasa alikuwa wapi asifanye mchakato wa hayo madawati. kwanza aelezee huo hizo pesa za mfuko wa maendeleo amezitumia viti. mijitu mingine kama mashetani vile
  16. A

    ...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

    ukishangaa ya musa utaona ya wabunge wetu
Back
Top Bottom