Search results

  1. U

    Hili sanamu la Baba wa Taifa JK Nyerere limekosewa sana, halifanani naye

    Jamani kweli kwa hadhi ya Baba wa taifa unabariki dhihaka hii kwa taifa?? Inamaana kweli Rais hamjui wala kumkumbuka Nyerere halisi. Ila matendo yake pia yanasadifu kweli huenda hamjui. Kwanza kwa maono yangu kutoa picha au sanamu ya Baba wa Taifa kwenye shughuli zilizokinyume...
  2. U

    Hili sanamu la Baba wa Taifa JK Nyerere limekosewa sana, halifanani naye

    Nilikuwa najiuliza kwanini wanadai kumuenzi mwalimu Nyerere lakini kila wafanyacho tofauti na Nyerere now nimepata jibu. Kumbe yupo Nyerere wanaemfuata matendo yake ndio yule wa Burigi Chato sio Julius Kambarage Nyerere ambaye ni Rais wa Kwanza wa JMT na Baba wa Taifa. Asanteni kwa kunifumbua macho
  3. U

    ATCL hawajamwelewa Magufuli ?

    Nikuambie ukweli mchungu. Wanaoharibu mashirika ya Serikali ni Biongozi na maagizo yao ya kisiasa. Mfano Schedule inaonesha ndege iondoke saa 2 kisha inapigwa simu mtoto wa Magu anaenda Njia hiyo na anatakiwa apande ndege hiyo, so mkurigenzi anampigia au kumwamuru wa chini yake ahakikishe agizo...
  4. U

    Tumejifunza nini kutoka kwa Mbowe katika mkutano wake?

    Kuna mjinga yeyote anayeweza kujikamata?? Wanaotuhumiwa ndio hao hao hawataki wachunguzi huru na hawataki mtu aombewe, wala tisheti zinazotaja tu jina la aliyedhurika, hawataki kumhudumia, wanataka akamatwe na afungwe pamoja na maumivu yake. Watu hawa hawawezi jishtaki
  5. U

    Shikamoo CCM, nyie noma

    Kweli hii mikopo jamani ni kaburi la maskini. Huyo mwalimu anatakiwa alipe kwa miaka 80+ hilo deni🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️Kwa hesabu za ngumbaru mimi. Kwa maneno mengine atakufa bado anadaiwa
  6. U

    Ndani ya miaka mitatu zaidi ya miswada 10 imepelekwa bungeni kwa "Hati ya dharura". Serikali ina hofu gani.

    We Paschal siku hizi unatetea mpaka uozo na kupaka manukato, kisa tu kufukuzia Ubunge. Dalili zinaonesha ukienda hata huko Bungeni nawe utakuwa walewale wagonga meza na kupraise muda wote. Nyie watu njaa zinawaondolea uwezo.
  7. U

    TANZIA: Katibu wa UVCCM Wilaya ya Momba afariki dunia alfajiri ya leo wakati akifanya mazoezi ya kuwasha Mwenge. Zaidi ya 20 wajeruhiwa

    I dont care what you think kama ni mmoja wao Allah akupe hukumu unayostahili. Amiin
  8. U

    TANZIA: Katibu wa UVCCM Wilaya ya Momba afariki dunia alfajiri ya leo wakati akifanya mazoezi ya kuwasha Mwenge. Zaidi ya 20 wajeruhiwa

    Mawazo Alfonce na wengine waliokatishwa uhai na hawa nyoka wa kijani CHecheMa wapimzishe kwa amani. Ila hawa nyoka waondoe hata wote kama inawezekana. Amina
  9. U

    Hongera January Makamba, ulifichwa kwenye msitu wa mazingira ukautumia vyema Sasa unanawiri

    Hilo furushi alituletea mwenyewe pale Mlimani City
  10. U

    Tunataka Ndugai ajiuzulu

    Siku moja moja unakuwa na mawazo ya Kitamzania japo mara zote unakuwa na mawazo ya chama Kwanza. Hongera kwa siku hii kuwa na mawazo ya Tanzania
  11. U

    Waajiri sekta binafsi na serikali pandisheni mishahara biashara mitaani zichangamke na makusanyo ya Kodi yaongezeke mitaani

    Amin amin nawaambia kama tungeacha ushabiki wa kipuuzi kusifia hata visivyopaswa tungesogea kama taifa. Nakushukuru YEHODAYA japo kwa hili moja. Huenda ikawa mwanzo wa kujitambua maana hao watawala wanavimba vichwa na kufanya haya wanayofanya maana wanajua wanayosupport ya watu nyuma yao, watu...
  12. U

    Kamati ya Maadili yamsimamisha Stephen Masele kutohudhuria vikao vitatu vya Bunge. Spika Ndugai apendekeza asamehewe

    Haya majina yanayoshabihiana na alcohol ni shida tupu. Namfahamu pombe, chapombe, kapombe, mapombe, lupombe, mwapombe .... wote hawa shida tupu. Mkuu kapombe heshima kwako maana pumba unazotemaga sio za nchi hii. Ila unalitendea haki jina good keep it upper.
  13. U

    Jaji Agustino Ramadhan: Tangu zamani tulipendekeza makada wa vyama wasiwe wasimamizi

    Wanahitajika na nani kama wananchi tangu zamani waliwakataa according to Augustino Ramadhani na pia katika mapendekezo ya katiba mpya. Kutakiwa na viongozi wa CCM ili kuhalalisha wizi usiseme ni wananchi. Kuhusu kuwatangaza upinzani ni kwasababu maeneo hayo walitumia nguvu kulinda machaguo yao...
  14. U

    Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania kwa Mazungumzo na kuangalia hali ya kisiasa nchini

    Karlo kama mpaka leo hii hujui maana ya uzalendo basi tuna viongozi wa ajabu sana. Anaeua watu wake kisa wanamkosoa na anaetetea raia nani mzalendo? Ikiwa mtu ameapa kuilinda katiba mwisho akawa mvunja katiba na haheshimu katiba wala sheria kisha walamba viatu wanamwita mzalendo namba moja...
  15. U

    Ubalozi wa Sweden Nchini Tanzania wakutana na viongozi wa Upinzani Tanzania kwa Mazungumzo na kuangalia hali ya kisiasa nchini

    Heshima kwako mkuu. Wazungu wanajua kabisa kuwa vyama vingi hapa nchini ni vya Kitengo yaani vinaendeshwa na kitengo chetu. Hata wewe unajua vema kabisa japo vinajinasibu kama vyama vya upinzani. Ila angalau kwa sasa hivyo ndio vipo active na vinamwelekeo wa upinzani. Hivi kweli inambie CUF ya...
  16. U

    Wiki ya kizalendo imetuonesha shujaa na kumtoa nyoka kichakani - Sehemu ya kwanza

    Hii mikataba ya hovyo mmesaini CCM wenyewe leo mnataka kusema Zito ndie tatizo mbona husemi Ndugayi?? Hivyo hivyo kwenye Gas mliwatimua Wabunge wa upande wa upinzani mkapitisha mikataba hii hii ya ajabu leo mnashangaa tena. Mlitukaririsha uchumi wa Gas tukaamini nchi ya asali na maziwa hatimaye...
  17. U

    Critical analysis: High Court decision vs Attorney General notice of appeal (bob wangwe's case)

    Asante japo sana. Hata mimi layman nilishangaa kusikia eti kwa sababu kuna Kusudio la kukata rufaa basi sheria itatumika ile ya kabla ya hukumu, hivi kweli wanasheria wetu mnakubaliana na hii kitu??? Kwani ingekuwa ni hukumu ni kufungwa mfano(Bob Wangwe Alivyohukumiwa) na akatoa notisi ya...
  18. U

    Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

    Mkuu Quinine hakika umelitendea vema taifa na jukwaa. Naomba hawa wote uliowaongeza kwnye comments wawekwe kwenye thread mama. By the way sidhani kama yupo hata mmoja ambaye sio mwanachama wa CCM kwenye list ya DED nchi nzima. Namshangaa sana huyu AG kulikatia rufaa hili. Hii inathibitisha hata...
  19. U

    Mengine tunayapika wenyewe, hivyo wajibu tuyale tu

    Nilichojifunza awamu hii mnajipendekeza sana wazee wa njaa. Kutetea hata visivyowezekana na kwakuwa ni verified id unauhakika wa kupewa kaupendeleo labda ka cheo. Lakini nikwambie tu ndugu wala hatupepesi macho, hakuna cha mashabiki wala nini anaeteka watu ni TISS na Police. Ndio maana pale Mara...
  20. U

    Tukio la kutekwa Mdude limefuta mafanikio yote ya ziara ya Rais Kanda ya Nyanda za Juu Kusini

    Ni mwenyekiti wa chama Dola chama Chako na wenzako. Anayejiita kichaa au Jiwe. Ndie pekee kikwazo namba moja cha umoja na mshikamano wetu kama Watanzania. Usipepese wala usihangaike kutafuta mwingine. Ni JPM
Back
Top Bottom