Search results

  1. CHIHAYA

    Mbegu za kiume kutoka zikiwa zimeganda

    Wadau na madaktari nisaidieni katika hili maana naweza kujiona niko normal kumbe ni abnormalities. Huwa ninatoa manii zikiwa nzito zimeganda wakati wa mechi na huwa zinatoka kwa speed ndogo kama makamasi tofauti na nionavyo kwenye mikanda ya pono. Je? Hii ni kawaida jamani?
  2. CHIHAYA

    Dr.Shein analipwa mafao ya ustaafu?

    Wadau naomba tujuzane hili limekaje kwa hawa viongozi wetu wa siasa? Je, Dr.Shein analipwa mafao ya ustaafu kama makamu wa raisi Muungano? Na akimaliza utumishi wa nafasi aliyonayo sasa atakawa yuko hai ataendelea kuvuta zote? Hili limekaaje ktk inchi kama yetu wadau? Na akina Msekwa na Sita je?
Back
Top Bottom