Suala likowazi ukimtafuta huyo rafiki yako atakupa ukweli huo,so mie naona bora uwaache na maisha yaho na usiwvunjie ndoa we endlea na maisha utapata marafiki wengne
Nashukuru sana kwa ushauri wenu wanaJF,kiukweli mie ni girlfriend wa huyo jamaa yani ina niuma sana kuona ana kuwa na uhusiano ya huyo mwanamke kisa eti wamezaa nae,nishamweleza lakini hasikii nataka niachane nae tu ndo maana nimejifanya rafiki yake ili nipate ushauri hata kama nikichukua hatua...
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa amemaliza chuo kikuu pale Udom,lakini pia ana mpenzi mwingine ambae wanapendana sana na huyo mpenzi...
Binadamu hatulingani kwa kipato,unaposema mwanaume wa ukweli hasitegemee mshahara nakuwa nakuona kama usiekuwa na dila kwsbb kuna wengne wamesomea kazi ambazo hazina kufanya mishe nyngne tofauti na kazi yake,mf:madaktari,masektari,tv opetrators na wngne wengi wanakuwa busy sana na kazi kiasi...
Kwaheshima ya rafiki yako naomba usimkubalie huyo jamaa kwsbb itakusumbua kiakili milele na milele,wanaume wapo wengi kuwa mvumilivu utapata tu mwanaume wa kukuoa nd nt that guy!thx
Hakuna haja ya kubrek na mwenzio jst gv hr tym and endelea kuchunguza pengne tayari ana mtu mwngne ambaye anampa faraja mpya so ukishsajua thn ndo chukua maamuzi ili usije pata maradhi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.