Search results

  1. N

    Tiba ya kucheua

    Wadau habari zenu mimi ni mwanamke tatizo langu nikila chakula chochote baada ya muda nacheua kila mara kile chakula nnachokula inanikera sana naomba kujua ni tatizo gani na tiba yake ni nini
  2. N

    Watoto wenu wote wanapitia hatua hii?

    Wangu mimi alikuwa anachora hadi vitandani utakuta kitanda kimechorwa mashuka ndo usiseme hadi milango yote ikafikia muda akaacha mwenyewe muache tu wakati ukifika ataacha
  3. N

    Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Niliiona hii ajali mida ya saa saba hivi Bamaga sidhani kama lile gari lilikuwa la msafara maana msafara wa JK ulikuwa umeshapita na magari mengine yasharuhusiwa kupita nalo likatokea
  4. N

    Nisaidieni mwanangu anateseka na ngozi

    mzizimkavu anajua dawa nyingi mimi zimenisaidia sana ngoja aje akupe darasa
  5. N

    Nisaidieni jamani niweze kuongea vizuri

    mimi sijakuelewa mdau tatizo la kuongea kivipi lugha unayoitumia huijui vizuri au tufafanulie kidogo tofauti na lugha hiyo lugha ulioizoea pia uko hivyo hivyo au
  6. N

    Juisi ya miwa ni salama?

    sio wote wanaotengeneza juice ya miwa ni wachafu mimi nakunywaga mwembechai ni wasafi balaaa na hii juice ukiionja kila siku utatamani unywe
  7. N

    kutopata hedhi

    Mimi nilivyojifungua sikupata hedhi wakati nanyonyesha mpaka mtoto alivyoacha kunyonya ndo ikaanza tena sikwenda kwa dk na sijui inasababishwa na nini
  8. N

    Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Asante Mzizimkavu ila sijajua tatizo linatokana na nini mbona sisi wazazi wake hatuna tatizo hilo?
  9. N

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Mimi nataka kupunguza tumbo tu ni msichana ila mwili usipungue
  10. N

    Sababu za tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina), jinsi ya kuzuia na tiba yake

    Hata mimi mtoto wangu ana tatizo hilo kuna wakati mtoto wangu anatoka damu puani huwa zikimtoka namlaza chali zinakata halafu namsafisha ila tiba sahihi sijapata na sijui inasababishwa na nini Mh. Mzizimkavu tusaidie
  11. N

    Please!: Msaada Jinsi ya Kuwaangamiza hawa Paka

    Mzizimkavu bata mzinga ukimfuga nyumbani kwako paka hawaji tupe darasa faida za bata mzinga kufuga
  12. N

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    MziziMkavu mkuu mimi ni mwanamke nina miaka 30 shida yangu ni kupunguza tumbo nina kitambi balaa nikivaa nguo utadhani nina mimba ila sina mimba nataka dawa ya kuondoa kitambi tu
  13. N

    Kujisikia kichefu chefu wakati wa kula

    Rubi asante kwa ushauri ntajaribu kunywa dawa za minyoo ntakuja kukupa matokeo hapa nina miaka mingi sana sijanywa dawa za minyoo
  14. N

    Kujisikia kichefu chefu wakati wa kula

    Hata mimi nina tatizo hilo nikila chakula chote kwa mkupuo lazima nisikie kichefuchefu huwa nakula kidogo naacha nbaada ya dakika tano akula tena kidogo naacha hadi namaliza kula nikila moja kwa moja lazima nisikie kichefuchefu na kuna wakati natapika kabisa
  15. N

    Mtoto wangu ametoka vijipu vidogo kwenye macho

    MziziMkavu Asante sana ntamrudisha tena Muhimbili halafu ntakujulisha ntakapofikia nashukuru sana
  16. N

    Mtoto wangu ametoka vijipu vidogo kwenye macho

    Asante sana @ Petro E. Mselewa
  17. N

    Mtoto wangu ametoka vijipu vidogo kwenye macho

    Wadau habari zenu, mimi mtoto wangu anasumbuliwa na viuvimbe vidogo kwenye macho ukibinjua jicho kwa chini au juu kuna ngozi nyekundu kwa ndani basi mtoto wangu anatokwa na vijipu vidogo sana kwenye hiyo ngozi nilimpeleka muhimbili wakamfanyia upasuaji wakavitoa nikajua tatizolimeisha baada ya...
  18. N

    Tumieni Mdalasini inatibu maradhi mengi tu jamani...............

    Mkuu hujatuambia Mdalasini inatibu magonjwa gani
Back
Top Bottom