Search results

  1. M

    Ushahidi wa Serikali kuhusika na Jaribio la kumuuwa Dr Ulimboka Huu Hapa

    Mbona hiyo hiko wazi POLISI WAMEUSIKA NA UNYAMA ambaye hataki huyo CHIZI wa kwenda MIREMBE
  2. M

    Bungeni: Huyu mwenyekiti vipi?

    Huyu jamaa ni sawa na makalio ya kichina ni chukizo na ualibifu kwa watanzania, ni aibu kwa watu sijui likoje hili li MTU shme on him and stupid with Chemba Mwigulu likifumuka tu ni harufu nchi nzima sijui ni kwa nini hili chemba alioni aibu silipendi bora UKIMWI kuliko MCHEMBA
  3. M

    Wanajeshi kortini kwa ufisadi wa mabilioni

    Hawa wote ni wezi wakubwa hakuna kilimo kwanza wizi mtupu
  4. M

    JK kawasili hapa Rwanda, kwenye Sherehe za miaka 50 ya Rwanda

    Nina wasiwasi na akili za huyu rais wetu kama ziko vizuri, hivi kwa matatizo tuliyonayo unapata vipi nguvu ya kwenda kwenye sherehe, hakika duniani kuna aina ya watu, yaani unawaza hata hupati picha. Mbona hata kina mseveni wametuma wawakilishi yaani hii kibonde kila shuguli lazima iende...
  5. M

    Maoni ya Mnyika dhidi ya hotuba ya rais ya mwezi Juni

    Nadhani utakuwa unachukua kaposho karefu maana kwa kumtetea DHAIFU si kwamba unafanya bure kwa jinsi ninavyokuona
  6. M

    Uozo ndani ya Jeshi la Polisi... Ushahidi huu hapa

    Du hata huyo mwema ndiyo kabisa sina imani nae, huyo msangi ni kijana wao atakuwa wanamtumia kufanya uhalifu
  7. M

    Barua ya wazi kwa Raisi...Wangu J.k Kikwete Ngangari! Msikivu

    Hivi unaweza kumshauri huyu jamaa nasikia mpaka uwe mzee wa Tiba mbadala ndiyo anaweza kukusikiliza vinginvyo hawezi kwake mtaalamu na ndumba ni NDUMBA kwanza utaalamu baadae, fuatilia kwa umakini utayajua haya nisemayo juu ya mtu huyu DHAIFU.
  8. M

    Kikwete umejisikiaje Dr. Ulimboka alivokukatalia kwenda kumuona?

    JK mimi sijawahi kujua kama ana uwezo hata wa kuongoza familia yake nina wasiwasi mkubwa na huyu jamaa maana uwezo wake ni utata kwa mwenye kumfahamu atupe zaidi maana kazi zake ni DHAIFU kama yeye alivyo DHAIFU.
  9. M

    Duh! Wamelipa Kodi kweli hawa ?

    Ata kodi ikilipwa nani ananufaika au ni ujinga wako tu, na kama haijalipwa na mtu amepewa mali yake jibu unalo serikali DHAIFU
  10. M

    Bendera ya Tanzania kwenye Meli ya Iran: Msimamo wa CHADEMA

    Unajua siamini kama Tanzania bado kuna majitu mapumbavu kama hili liloleta hii mada sasa CDM watoe msimamo wa nini kwa jambo ambalo siyo official, ikifika mahala kwamba Tanzania inapaswa kuadhibiwa kwa makosa ya kidiplomasia ndipo hapo watu makini wanakuja na matamko na kujua serikali ilihusika...
  11. M

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Jibu analo Kikwete ndiye mwenye wajibu wa kuwatibu siyo ULIMBOKA, kwani ulimboka anachukua kodi ya watanzania ili atoe huduma, kama serikali ina pesa siyo lazima itumie madaktari wa Tanzania inaweza kuagiza nje. Ulimboka hana mkataba wa kukutibu wewe hivi leo madaktari wakasema hawataki tena hii...
  12. M

    Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

    Hutakuwa huijui Tanzania au ndiyo unafikiria kwa kutumia TUMBO hivi hapa Tanzania kuna mahakama ya kuwashitaki wakubwa. Nyie ndiyo mafikra njaa mnaoishi kwa kulamba watu miguu yaani unaweza kumshitaki wapi Ridhiwani mwenye uwezo wa kuteua hata majaji. Kama huijui Tanzania piga kimya
  13. M

    Madaktari waache kutumia uhai wa watanzania kudai maslahi yao!

    Wewe utakuwa Mwigulu au Profesa maji marefu ndiyo wenye maakili ya kipuuzi, hujui hata nani ana wajibu wa kutibu wananchi. Siyo lazima serikali itumie madaktari wa Tanzania inaweza kuleta kutoka nje ya nchi ilimradi watu wake wapate huduma ya afya. Sasa wewe kwa ufupi wa fikra zako unabwatuka tu...
  14. M

    TRA kwa mtindo huu mtindo mtakusanya kweli kodi?

    Hii taasisi ni USANII kwa kwenda mbele na inahitaji kuangaliwa kwa makini kuna ukiritimba wa kupindukia na watu kijidai miungu watu
  15. M

    Jibu maarufu la Serikali bungeni

    Hao ni mawaziri wa MAGAMBA
  16. M

    Madhara gani hutokea kwa taifa lisilotenda haki kwa raia wake.....

    Ondoa JK DHAIFU na Mtoto wa mkulima FISADI na kuanza upya katika misingi tutakayokubaliana namna bora ya kuendesha TAIFA
  17. M

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    Wewe ulitaka wapiganie nini? Kwani kina nape wanapigania nini? Kila mtu apiganie mahali alipo ndipo ilipofika nchi hii kama huna pa kupigania kula bati
  18. M

    Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

    Lazima kwenu kutakuwa MIREMBE kule DODOMA hivi kuna mtu anaweza kuitaka CCM utakuwa mdogo wake NAPE au MWIGULU au LUSINDE
  19. M

    Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

    Unamshukuru nani na hoja zako dhaifu kila mara unakuja na upuuzi katika mambo ya msingi, utaendelea kudharaulika mpaka utajidharau mwenyewe kwa sababu umeamua kuchukua njia ya kudharaulika.
  20. M

    CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

    Mleta hoja anasukumwa na njaa
Back
Top Bottom