Search results

  1. Chali wa Moshi

    Hivi TCRA mnawaogopa Star TV?

    Hivi na wewe unapotezaga muda wako kuangalia iyo channel ya star tv??
  2. Chali wa Moshi

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Kwanini wale watu ambao hali yao ya maisha na uwezo wao wa kielimu ni mdogo sana, ndowanaongoza kwakuipenda CCM???
  3. Chali wa Moshi

    Mgombea yupi ?Wa Uraisi anakubalika mkoa up?i

    Mbona hamsemi Kilimanjaro jamani, Lowassa huku ndo mpango mzima.
  4. Chali wa Moshi

    Ambacho CCM na watu wao hawajui

    Kitu ambacho C.C.M na watu wao hawafahamu ni kwamba, kwa sasa waTanzania wanachotaka ni mabadiliko tuu, haijalishi ninani ambaye atayaleta, kwaiyo hata kama ni Membe au Wassira angekuwa UKAWA, angeshinda tuu kwasababu watanzania wanachotaka ni kuweka serikali nyingine madarakani, haijalishi ni...
  5. Chali wa Moshi

    Kwanini Huenda UKAWA Wameshashindwa Uchaguzi Huu Kabla ya Kufanyika!!

    Le mutuz, mimi huwaga nakukubaligi sana article zako, ila hii ya leo utasea sio wewe bhana.? embu fanya chambuzi zako kisomi kama kawaida yako. Hii ya leo umechemsha saaaana le mutuuuuuuz.......
  6. Chali wa Moshi

    Tofauti kati ya Wakenya na Watanzania

    Don't act stupid! vote no to ccm.
  7. Chali wa Moshi

    Tofauti kati ya Wakenya na Watanzania

    It's hurt, wazee wa tuko kwenye mchakato......ha ha ha!!
  8. Chali wa Moshi

    Kikwete aahirisha safari za Ulaya ili kumnadi Magufuli

    Ni kweli mkuu, mbona mueshimiwa kikwete ulisimama mwenyewe 2005 bila ya mkapa, mwache magufuli nae afanye kama wewe. Ili tumpime kweli uamiri jeshi atauweza au.
  9. Chali wa Moshi

    Sikonge waandamana kupinga Said Nkumba kuchaguliwa na CHADEMA

    ha ha ha! amna hoja hapo mkuu.
  10. Chali wa Moshi

    Jimbo la Mwanga kupitia UKAWA nani atapeperusha bendera?

    Kileo, mme wake na Joyce Kiria. ,
  11. Chali wa Moshi

    Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Lizaboni, mdosi kakiri, sasa unabadilishia kibao kwa lowassa.
  12. Chali wa Moshi

    CCM tumefikaje hapa tulipo?

    Tuache ushabiki, Le mutuz ni kichwa. Sina la kpinga hapo full of fact.
  13. Chali wa Moshi

    Hili limeshakuwa tatizo: Dola sasa ni zaidi ya TZS 2,350/= Kikwete, Ndulu, Wizara wapo kimya!

    Moshi leo ni 1$ = 1785tshs, exchange rate. sijui kuinunua dola ni ngapi though.
  14. Chali wa Moshi

    Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

    Ambaye hataki lowassa awe rais wa nchi hii ni bora akakimbia nchi mapema kwasababu ndio rais ajae, hata J.K. alipokuwa anaingia walisema ivo, ivo, mara ooh J.K. akichukua tunahama nchi lakini mpaka leo wamo humu humu. sasa kauli zile leo wameanza kwa lowassa, mara ooh, fisadi. sasa ndowa...
  15. Chali wa Moshi

    Edward Lowassa special thread

    Mahakama gani iliwahi kusema lowassa ni fisadi au mbathilifu??
  16. Chali wa Moshi

    Edward Lowassa special thread

    Waambie mkuu, don't act a fool and argue that Lowassa is not our next president.
  17. Chali wa Moshi

    Lowassa kusababisha ukosefu mkubwa wa ajira kuanzia Julai 2015

    Huyu Lizaboni, sijui amelipwa shilingi ngapi jamani, yaani yeye kila akija ni analia na lowassa tuu.... sijui utajificha wapi july lowassa akiteuliwa pale Dodoma.
  18. Chali wa Moshi

    Mbowe amlipua JK

    kichwa cha habari namaelezo yaliyo ndani ni tofauti. headline ingerekibishwa ingeleta maana nzuri kweli.
  19. Chali wa Moshi

    Kura ya Maoni inayoendeshwa na Nipashe, Lowasa awaacha wenzange mbali sana.

    labda uhame hii nchi lakini taka usitake, raisi 2015 ni........ Edward Ngoyai Lowasaa...!! watu eeeeeee,, jembe, jembe, jembe, jembe.....
Back
Top Bottom