sababu za kufeli zipo aina mbili kuna za kisiasa na sababu halisi. mimi nitataja sababu halisi
1. kuporomoka kwa maadili "displine" za wanafunzi na waalimu
2. kuenea kwa filamu za kijinga za kibongo na za nchi nyingine ambazo zinawajenge vijaana kuona maisha ni rahisi kama wanavyoona wahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.