Search results

  1. K

    Wilaya nzima (Bukoba Vijijini) Hakuna CHADEMA!

    Ta Muganyizi, usikatae. Rudia kusoma michango ya watu humu, utagundua kuwa YUPO aliyesema kwamba hakuna hata kiongozi mmoja wa juu aliyefika Bukoba, na ndiyo maana Hoyce akataja majina ya baadhi ya watu. Haimaanishi kwamba ndio pekee wanaofanya kazi hiyo, lakini alitaka kujibu hoja ya huyo...
  2. K

    Wilaya nzima (Bukoba Vijijini) Hakuna CHADEMA!

    Ta Muganyizi, ndiyo maana baadhi ya wachangiaji hapa, akiwamo dada Hoyce wamesema kwamba baadhi yetu mnakuwa too cynic about practical political work done by Chadema. Na alilisitiza kwamba wengine mnajadili siasa za Bukoba kwa kutumia mtandao tu, hamwendi field. Mimi binafsi nipo Bukoba sasa, na...
  3. K

    Wilaya nzima (Bukoba Vijijini) Hakuna CHADEMA!

    Ta Muganyizi, ndiyo maana baadhi ya wachangiaji hapa, akiwamo dada Hoyce wamesema kwamba baadhi yetu mnakuwa too cynic about practical political work done by Chadema. Na alilisitiza kwamba wengine mnajadili siasa za Bukoba kwa kutumia mtandao tu, hamwendi field. Mimi binafsi nipo Bukoba sasa, na...
  4. K

    Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live...

    Huyu TOPICAL ni mgonjwa wa akili. Tazama wanaochangia humu, hesabu wanaomuona wa maana, tafakari kauli zake, utagundua kwamba Topical hana uwezo wa kugundua kuwa ametoboka ubongo, unavuja vumbi ... anendelea tu kuandika upupu wake. Tazama kwa mfano, anadhani mafisadi hawa ni wakatoliki...
  5. K

    Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live...

    Jielimishe: 1. Ngurumo ameandika Maswali Magumu tangu mwaka 2002 katika Mwananchi Jumapili, akamtia kibano Rais Mkapa. Lilipoanza Tanzania Daima akahamisha makala hiyo kwenye gazeti hilo mwaka 2004 hadi leo. Amemtandika JK tangu alipotangaza nia ya kugombea 2005 hadi leo. Alikuwa mwandishi...
  6. K

    Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live...

    TOPICAL - kama alienda shule - aliondoka bila kujua maana ya neno TAFITI (reserach), na aina za utafiti. Vile vile, amekulia na kulelewa katika makundi dhaifu yenye kujaza bongo za watoto sumu ya UDINI. Sijaona popote katika makala ya Ngurumo, alipojadili Uislamu na Ukatoliki wa mtu yeyote...
  7. K

    Ansbert Ngurumo amchana Kikwete live...

    Huu sasa ni ujinga mwingine. Inawezekana wewe umemsoma lakini hujamwelewa Ngurumo. Alichojadili hapa hakina uhusiano na FAMILIA ya Kikwete, wala hajasema Kikwete ana wake na vimada wangapi, na katelekeza wangapi... Kama angetaka mada hiyo ingekuwa tamu zaidi, lakini ungekuwa udaku. Ngurumo...
  8. K

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Haya ndiyo baadhi ya mambo yanayo-put off watu wengi serious katika mijadala ya maana. Sasa mimi nimeingiaje katika kugombea na kivuli? Haya yananihusu vipi mimi? Mimi ni nani na wa wapi hadi niingizwe huko unakosema wewe? Na kabla ya hapa, hapo juu kwenye mcango wako mmoja, umemuita mtu "kijana...
  9. K

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    1. Hivi Mudhihir na Zitto "walilumbania" wapi? Mie nadhani aliyelumbana na Zitto ni Karamagi. 2. Kabla ya Chacha wangwe kufariki amelumbana na watu wengi, hata kwenye gesti alikolaa Dodoma, na wala hayakuwa masuala ya Chadema, bali ugomvi wa kawaida tu kama mnavyojua. lakini sidhani kama...
  10. K

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Mgagagigikoko, nadhani una matatizo yako unatafuta wa kumuambukiza, bahati mbaya hapa wote ni watu wazima, watoto mko wachache sana. Unayoandika na unayemwandikia (siju unamwaddress nani?) ni vitu viwili ambavyo vinaonyesha hicho ninachokisema. Pole, kama unataka kutumia msiba kuonyesha udhaifu...
  11. K

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Hapana Richard, kitaalauma mtu mwenye authority ya kuthibitisha tukio la ajali ndiye huyo ambaye waandishi wamemnukuu. Eye witnesses wanaweza kucomment, lakini bila kauli ya kamanda taarifa inachukuliwa kama uzushi! Haipendezi, lakini ndo hivyo. Ndo maana siku zote tunasoma habari za vifo...
  12. K

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Basi, kama nimekuoena nomba radhi! Ila ninavyoona, na kama unavyothibitisha mwenyewe, wewe umetoa onyo kwa KUCHONGA njia ya kelekeza watu HUKO HUKO ulikotaka kuwaonya wasiende, kana kwamba kifo cha Wangwe hakikukugusa, ukaona uwaelekeze watu huko ambako wamekufuata. Kwa maelezo yako hapo juu...
  13. K

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Mtu mzima, akili za mtoto wa miaka 6! Ama kweli, kumbe na wewe uko hivi, huu ndio uwezo wako wa kufikiri? Unajua haya mambo huwa tunayajadili na uwapuuza watu wanaohusisha ajali kama hizi na siasa, kumbe na wewe uko kundi hili? Bora nisingekuwa na kujua, maana imeniuma saaaaaana kwamba nawe uko...
  14. K

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Watu wengine wana fikra za kichawichawi vile! Sasa haya yametokea wapi? Kichuguu, tanguliza ubinadamu kwanza...hata kama hujiheshimu na unadhani hufahamiki! Hata kama huheshimu wengine, na marehemu akiwamo, basi jiheshimu nafsi yako inayokusukuma hapa. Poleni wanafamilia na wapambananaji...
  15. K

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    1. Para ya kwanza imejaa hoja za kitoto. 2. Para ya pili iko kwenye kumbukumbu a NCCR-Mageuzi. Chadema wamekataa kurudia makosa hayo. 3. Vile vile, lazima ujue kuwa tatizo lilishagundulika, halikuwa chama wala kundi l watu bali wangwe. Hili ni gugu ambalo dawa yake ni kulin'goa shambani, siyo...
  16. K

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Kwa hiyo wewe Wangwe akisema unaamini, Mbowe akisema unachukia? Kumbuka huyu ana mandate ya kukisemea chama. Mtaendelea kupia kelele wee! Hili limeshaamuliwa na chama kinasonga mbele. Chadema wameona bora wachukue hatua na watamke wazi kuliko kufichaficha. Kuna ubaya gani? We endelea kulia...
  17. K

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Wangwe hakuteswa kwa ajili ya Chadema, na hiyo so tiketi kwamba akifanya makosa aachwe. kazi mnayofanya hapa kumtetea wangwe na makosa yake, mnapoteza muda kuwafurahisha kina Rostam Aziz, wakidhani hili litafunika mambo yao. Tuwaache Chadema watekeleze kazi zao, watimuane na kuwekana sawa...
  18. K

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Huu nao bado ni ugonjwa mbaya wa akili. Utaifa hauonekani katika makabila ya watu bali katika dhima inayowakusanyisha, masuala wanyojadili na mipango wanayoweka. Hata wakati wa TANU walikuwapo wananchi wenye akili hizi hizi, maana asilimia 8o ya waanzilishi walikuwa watu wa Pwani na Waislamu...
  19. K

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Mgagagigikoko, nadhani hukwenda shule kabisa au ulikwenda kukusanya vyeti lakini hukuelimika kabisa. Katika karne hii, unatazama makabila ya watu si hoja zao? Kipimo chako cha ubora na ubaya wa mtu ni kabila lake? Fisadi mkubwa!
  20. K

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Huu ujanja wenu kawapelekee wajinga wenzenu. Historia imeshatufunza mengi, na sasa tunajua mnakotaka kuelekeza mawazo ya Watanzania. Hakika mtaendelea kujiuma na kuumana, hamtafanikiwa kuwadhoofisha wapiganaji na wanaharakati wote. Tutaendelea kupambana na ufisadi wenu CCM hata kama mtajivika...
Back
Top Bottom