Search results

  1. L

    Damu ikimwagika Kalenga, RCO ndie mtuhumiwa namba moja.

    Katika maisha yangu sikuwahi kuona watu wavivu wa kufikiri kama watz
  2. L

    Lema akamatwe na kushitakiwa kwa kosa la UHAINI!

    Sasa tunamshaki rais kwa katiba ipi??????
  3. L

    Unafiki wa Wabunge wa Tanzania: Kwanini hawalipi kodi?

    Hakika nikikuwa sijui kama wabunge hawakatwi kodi,,,kumbe ndo sababu kila kitu kinapita bungeni bila kupingwa kwa maana hawana uchungu. Mimi hata ile overtime na lunch na house alawans inakatwa kodi. Muda umefika wa kuandamana ili wabunge wakatwe kodi kwa huo ni WIZI Tufanye kila aina ya...
  4. L

    Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

    Acheni kuimba wimbo wa taifa,,,,simtetei,,,,njooni na ushaidi wa utajiri wake,,,semeni ana nini labda LAKE OIL,,,,na naniii
  5. L

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Tatizo hapa tz kila kitu kinapangwa kisiasa na kwa maslai binafsi,huko nje wanamjua Prof lipumba kiuchumi siyo kisiasa. Tumia akili ndogo kujiuliza was she the right person to lead such a potential ministry
  6. L

    Ni Hatari Sana "Mnyonge" Anapochoka "Kunyongwa"

    Ukiua kwa upanga nawe utauawa upanga
  7. L

    Julius K. Nyerere, The Unsung Hero Of Africa Who Made Nelson Mandela!

    Watu wadaodai Mwalimu alifanya vibaya nadhani wana matatizo makubwa sana ya kufikiri,asidiwe kuelewa jinsi alivyoianzisha Tanzania
  8. L

    Tahadhari Kubwa kwa watu wote

    Watanzania tuko watu wa ajabu sana kama bendera fata upepo,tunaacha kufanya tathmini ya nchi yetu kwa mfano, mgawo wa umeme,pembe za ndovu,nk. Hakuna hata mmoja anayetaka kuwajibika eti mnangangana na mambo ya chadema,yanawasaidia nini watanzania,,,,,tumekalia umbea tuu,,,,,watanzania wamesoma...
  9. L

    Wazee CCM: Pinda kuwa rais wetu 2015

    Pinda yupi!!!!!!!!!!!!!!!!labda yule wa zamani wakati akiwa mtoto wa Mwl.Nyerere!!!!!!!!!!!!mwacheni baba wa watu akale pensheni zake
  10. L

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Enzi hizo mawaziri hawakuwa na majibu ya kipuuzi kama wa sasa eti serikali inatarajia,,,,,kulikuwepo na dead line.....vinginevyo shilingi moja ilikuwa inachomolewa kwenye bajeti na kuirudisha ilikuwa shughuli......bunge la zamani lilikuwa na utamu wake
  11. L

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Mama Kate Kamba
  12. L

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    If confirmed ahukumiwe kunyongwa hadi afe
  13. L

    Rais Kikwete arudisha zawadi ya dhahabu

    Itawasaidia yatima wangapi,hata kama ni wa sehemu husika je na hao wengine hawastahili? basi angaamuru meno yote ya tembo yauzwe ili yatima waandaliwe mpango maalum wa kuwasaidia
  14. L

    Famous Quotes by Julius Nyerere

    Mtoro wa ccm ndiye presidaa ajaye,kwa alishawahi kuwa ndani ya ccm
  15. L

    Kwa matukio haya Pinda hustahili kuwa waziri mkuu wa Tanzania

    UPM wa pinda ni wa bara tuu,nenda kawaambie wazanzibari kuwa pinda ndiye pm wenu usikie mziki wake
  16. L

    VOA: Godbless Lema amvaa Waziri mkuu Pinda

    Watazima mitambo ili tusipate mawasiliano
  17. L

    polisi: MBOWE NA LEMA POPOTE WALIPO WAJISALIMISHE WENYEWE POLISI

    :embarassed2:Lema alipeleka ushahidi kukhusu uongo wa pinda,,spika kapoa kama maji ya mtungi hakuuliza tena,wanatapatapa,,,mara upelekwa chagonja,mara rais,,,,wote mama yao moja,,,,,pelekeni kwa askofu
  18. L

    polisi: MBOWE NA LEMA POPOTE WALIPO WAJISALIMISHE WENYEWE POLISI

    Lema alipeleka ushahidi kukhusu uongo wa pinda,,spika kapoa kama maji ya mtungi hakuuliza tena,wanatapatapa,,,mara upelekwa chagonja,mara rais,,,,wote mama yao moja,,,,,pelekeni kwa askofu
Back
Top Bottom