Search results

  1. N

    MAKINDA: Nusu ya wabunge wataka kuacha ubunge kutokana na hali ngumu ya maisha

    mama angu mama makinda anaendelea kuchemsha tena sasa hvi ndo kaenda kuchemshia nyumbani kwao kabisaa...na kutengeneza mazingira ya cdm..kuchukua himaya yake.Sasa awataje hao waliomfuata kuwa hali yao imekuwa mbaya kifedha tuwajue...kuwa lengo lao la kwanza lilikuwa ni kujinufaisha...
  2. N

    Mgomo wa madaktari: Kigwangwalla kufukuzwa CCM?

    Kama kosa kweli alikuwa nalo..yeye kama mbunge...na dktari kwa taaluma ndo alitakiwa kuunganisha nguvu na serikali katika kutatua hilo tatizo na si kufadhili mgomo kama inavyodaiwa....adhabu ipo pale pale ukienda ndivyo sivyo...
  3. N

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Suala la posho ci jambo dogo kama tunavyodhania ndo mana hata pm wakati anajibu hii hoja alisema kabisa kwamba wataliendea taratibu kuona ni jinsi gani zinaweza kupunguzwa....sasa tatizo tunaleta ushabiki mbele bila ya kufafanua ukubwa wa posho na wapi zikatwe....unafiki sio zitto peke yake wapo...
Back
Top Bottom