Search results

  1. T

    CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

    Kitufe cha like sikioni... Big up!
  2. T

    CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

    Najua unataka kututoa kwenye mjadala wa Escrow; Ukweli huu hautafutika kwamba hata kama Zitto atasamehewa, bado atakumbukwa kwa usaliti huu.
  3. T

    CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

    Hata kama Zitto akipatana na CHADEMA hili la usaliti litaendelea kukumbukwa
  4. T

    CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

    UKAWA na CHADEMA wameweka maslahi ya taifa mbele. Ubinafsi umewekwa kando
  5. T

    CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

    Acha unafiki wewe. Hakuna mahali popote CHADEMA imejaribu kumsafisha ZITTO.
  6. T

    Nini kitatokea kama wezi wa Escrow account hawatowajibishwa?

    Imekuwa faida kubwa kwa watanzania kujua kuwa baadhi ya wabunge wa viti maalumu ni makuwadi wa mafisadi. imesaidia kujua kuwa Anna Makinda ni mtetezi wa mafisadi; Imesaidia kujua kuwa baadhi ya wabunge wa CCM wana uchungu na nchi yao. ....
  7. T

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Sikuwepo muda mrefu. Sasa najua utaacha kutetea kitengo cha JK. IPTL imeletwa na JK akiwa waziri wa nishati na madini 1994; ikalindwa na JK kwa miaka 10 akiwa waziri wa mambo ya nje; na sasa inalindwa na yeye akiwa Rais.
  8. T

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Kuendelea kuamini kuwa fedha hii haiwahusu watanzania ni uzuzu. Kampuni ya IPTL imeletwa na Jk miaka ya 90.. Hicho ni "kitengo"
  9. T

    Kwa mbinu zilezile, style ileile CHADEMA itasubiri mpaka 2050

    Nasikia harufu ya ACT - ZITTO na CCM!
  10. T

    CHADEMA yafunika Mang'ula kwa mkutano wa kihistoria

    Yuko lindi kupambana na ukawa baada ya kurudi toka uarabuni kwenye matibabu.
  11. T

    Vincent Nyerere alivyounguruma Babati mjini - Nov 15, 2014

    Mpige na baragumu hivi...MSALANI
  12. T

    Vincent Nyerere alivyounguruma Babati mjini - Nov 15, 2014

    Vicent, hizi zote ni njama za kumuua kwa pressure mzee wa pembe za ndovu..... Kinanaaaaaaaa!.... Weka mbali na ......
  13. T

    Mipango miovu ya CHADEMA kuivuruga ACT

    Hawa watu wanatutosha.. walioenda ACT ni wasaliti.
  14. T

    CHADEMA yafunika Mang'ula kwa mkutano wa kihistoria

    Piiiiiiiiipoooooozii!.....
  15. T

    CHADEMA yafunika Mang'ula kwa mkutano wa kihistoria

    Mwaka huu mmeamua kuua watu kwa pressure... Jamani hata huruma kwa Kinana hamna? Ameenda Uarabuni.. Sasa mikutano hiyo mnayoifanya itampeleka India kupunguza pressure.
  16. T

    Mbowe afunika Mtibwa

    Haya mmefurahi kuleta pumba hizo?
Back
Top Bottom