Search results

  1. Wingu

    Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

    Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana na haina mwisho.Chadema walianza kuwabagua waislamu wakamaliza sasa wameanza kuwabagua wakatoliki(Dr Slaa na wenzake) wanajazana walutheri tu(Mbowe,Sumaye,Lowassa).
  2. Wingu

    Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

    Kweli nimeamini Slaa anamsimamo na anasimamia kile anachokiamini.Siyo kama manyumbu fulani yanayocheza ngoma ya Dj bila kujielewa.Hongera Slaa napenda wanasiasa wa siasa kama zako popote ulipo wafuasi wako tutakufuata.
  3. Wingu

    Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

    Haya sasa kiko wapi?Mbona Dr Slaa jana hatujamuona siasa za unafiki na kipumbavu kweli mnaziweza
  4. Wingu

    UKAWA umejaa mfumo dume, wanawake msiwape kura

    Chadema wadini sana 99% ya wagombea ni wakristo.Laana ya Watanzania zitawangukia
  5. Wingu

    Mgombea mwenza kumwangusha Magufuli

    Sasa wewe Chadema una washauri Ccm.Acheni kuhangaika na mambo yasiyowahusu.Mawazo yako kamshauri Fisadi Lowasa Na Movement ya kidini(kilutheri)
  6. Wingu

    Mbeya wahoji uadilifu viongozi wa UKAWA

    Wagombea wa Chadema 99% ni Wakristo.Kweli hii ni Christian Democratic Movement
  7. Wingu

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Chadema ni Chama cha Wakristo(Walutheri).Angalia wagombea wake mtakubali.
  8. Wingu

    Dr. Slaa: Natishwa

    Hawawezi kumuondoa labda atangaze yeye mwenyewe kujiondoa.Siunajua Chadema ina damu yake tehe tehe.
  9. Wingu

    Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

    Yaani hata wewe unamtukana Dr Slaa hivi!Hivi kati ya Slaa na Mbowe ni nani wa kulaumiwa?
  10. Wingu

    OMBI; Onyesha uzalendo baki chadema, baki UKAWA.

    Hivi wewe unajidai unajidai unajua ukombozi kuliko Slaa?Wakati ubabe ulipotumika kumpitisha Lowassa endeleeni nao.Sio mnakuja kulialia hapa Slaa sio mjinga anajua ukweli wote
  11. Wingu

    Lowassa Alichukua Wiki 2 Kutafakari Kilichotokea; Tuheshimu Uamuzi wa Dr. Slaa Kufanya Hivyo Hivyo

    Hivi kwa mtu mwenye msimamo kwa misingi aliyojiwekea kuna muda hata wa kutafakari.Msimamia ukweli siku zote haitaji muda kutafakari hata mkiremba maneno Watanzania wa leo watawahukumu kwa matendo yenu.
  12. Wingu

    Udikteta wa Mbowe: Msuguano Slaa na Mbowe waitikisa CHADEMA, Mafisadi wamteka Mbowe

    Pro Mbowe kwa matusi wanayomshushia Dr slaa na Mke wake Utafikiri amewaibia ofisi yao.Yeye kaamua alivyoamua heshimuni maamuzi yake
  13. Wingu

    Ushauri: CCM Tengua Magufuli weka Dr.Slaa

    Ngoma bado mbichi ndo kwanza imeanza
  14. Wingu

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Misifa yake ya kutukana watu ndo inayomtesa sasa hivi.Sijui ataficha wapi liuso lake.
  15. Wingu

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Slaa na domo lake la kumwita Lowasa Fisadi sijui ataishi maisha gani ndani ya chedema.Siasa za masifa lazima zimtese mbavu kabisa.Mbowe huyo na Lowasa ndo watakao mpa maelezo sasa.
  16. Wingu

    Picha hii inatufundisha nini kuhusu kufikiria kwetu kuhusu Watawala?

    Kwani wewe kwa akili yako ni viongozi peke yao ndo wanakazi ya kutengeneza madarasa?Wewe msaada wako ni nini kwenye kuliokoa hilo darasa lisianguke,Acha siasa uchwara kwa njaa ya tumbo lako unajishushia heshima
  17. Wingu

    Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

    Kisukari ni hatari kwenye ubongo wa binadamu
  18. Wingu

    Zitto na ACT yako mjiandae kisaikolojia

    Bavicha bwana viroba vinawapeleka kubaya utumbo gani sasa umeleta hapa.Nenda kamdanganye lema kwa upuuzi wako kama huu ndo anaweza akakuelewa
  19. Wingu

    Safari ya JP Magufuri ilianzia hapa.

    Kikwete anamaliza kwa heshima iliyotukuka
  20. Wingu

    Naomba kumjua Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho

    Jua kwanza ya mwenyekiti wako hao wengine hawakuhusu
Back
Top Bottom