Search results

  1. mkwelili

    Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

    Duuuuu! Hili jamaa bumunda kweli yani hata ssi ambao tunafuatili mapigano kwenye series za ulaya ambao wame advance uwezi utoa hiyo kitu ya bunduki ikatoa sauti
  2. mkwelili

    Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

    Huyu ni wale Akari wa CCM
  3. mkwelili

    Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

    CCM wewe tunakujua sana, enzi zile mlijiona nchi yenu peke yenu na kujifanya mnawatesa wapinzani, haya zambi zako zinakutafuna sasa.
  4. mkwelili

    Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

    Tunakujua wewe ni CCM, mipango yenu ya kutaka kumtawala kila mtu kwenye jeshi la polisi haiwezekani. Kwanza kabisa ulivyo fanya uzalimu kwa viongoz wa dini ulifikiri Ni jambo jema Pia tunakujua vizur wewe meahack kwani kwa mara kazaa tumeona mambo yako ya kuwatishia viongozi mbalimbal ikiwa...
  5. mkwelili

    Utata wagubika baada ya askari anayepambana na madawa ya kulevya kushushwa cheo

    Tunakujua pia vizur wewe Meshack kwani kwa mara kazaa tumesikia pia mambo yako ya kuwatishia viongozi wa dini na watu wote tunaokuja hapo kituo cha polisi kijenge kuwa hakuna wakukutisha. Achilia hayo wewe umekuwa na tuhuma za mauaji ya Chalii yetu ambae alikuwa fundi anae kaa baraa pia...
Back
Top Bottom