Search results

  1. T

    Kubadi engine kwenye Nissan Navara kuweka engine ya toyota hilux

    Salute kwenu wataalam wa magari, Mzee wangu anataka kubadili engine ya Nissan Navara zile za singapore ataka kuweka engine ya diesel au petrol zile zinazotumika kwenye toyota hilux double cabin, gari ni la 2007 na lishakula km 198,000/: lishaanza kusumbua Ushauri wenu unahitajika. Sent from my...
Back
Top Bottom