Hakuna lolote!..Lisu atarudi na ataendelea na harakati za kutetea katiba na utawala unaofuata na kuheshimu sheria. Najua nyie watesi wake mtaumia sana kutokana na ujio wake....
Nakupongeza Salary slip kwa hoja yako murua na ya kizalendo. Kazi inabaki kwa serikali yetu sikivu ya dkt. John Joseph Magufuli kuifanyia kazi. Naamini kufikia sasa watendaji wamekwisha jiridhisha kuwa uendeshaji was biashara hii si rahisi
C.c. barafu
Ni aibu kwa taifa. Kwa kuwa ndege hiyo imekamatwa kwa amri halali ya mahakama na serikali imetuma wanasheria kufuatilia suala hili, inakuwaje intelijensia ya polisi imeshindwa kuvunja maandamano haya?, au wanakibali rasmi!
Mwilapwa (mwalipwa kutetea ujinga) hatuhitaji utetezi wako, alichokisema ktk kipindi cha BBC focus in Africa kiko wazi kabisa. Yeye kama mjumbe was vikao vya baraza LA mawaziri anajua kuwa Azori amepotea na kuuwawa. Kama maneno hayo yalimtoka kinyume na kiapo chake cha uwaziri basis hiyo no...
Kwahiyo tulipe kisasi kwa kupeleka miradi yote chato?...Bado naamini kuwa watanzania tunatakiwa kuweka vipaumbele vyetu vya maendeleo na huduma za jamii kwa uwiano sawa bila upendeleo au ubaguzi. Tanzania ni yetu sote. Tusishabikie mambo ya hovyo yanapofanywa na viongozi wetu
Unastahili kuitwa mbwa kutokana na kutokujitambua kwako!.. Nchi hii ni kubwa na maeneo mengi yako nyuma ktk miundombinu na huduma za kijamii. Kuendelae kupeleka miradi chato kwa upendeleo wa kiasi hicho ni kutowatendea haki watanzania. Acha kushabikia upumbavu
Mwenendo wa bunge la ndugai unazidi kudhihirisha udhaifu wa chombo hili kutokana na maamuzi ya kiongozi wa bunge. Ndugai amekuwa akiitumia kamati ya maadili kama mhuri wake wa kufanya visasi na kuwakomoa asiowapenda, suala lisilo na tija kwa taifa. Kwanini anashindwa kulielekeza bunge ktk...
Ndugai analiaibisha bunge na hii inadhihirisha kuwa bunge in dhaifu na limeshindwa kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa. Kamati ya maadili haina maadili wala maamuzi guru, ni rubber stamp ya ndugai. Poleni watanzania
Alexelias inaonyesha wewe ni mgeni hapa mjini!...huyu jamaa yako ndugai mbona ni mhuni wa muda mrefu!... Ulikuwa wapi alimpomchapa bakora hadharani mgombea mwenzake?. Au hukuwahi kusikia kauli za kuhusu mbunge mwenzake lisu? Mbona yapo mengi tu ya kifamilia ambayo anaya handle kihunihuni tu...
We Vitalis, mbona unajitangaza ujinga wako kiasi hiki?.. Unafurahia mateso kwa binadamu wenzio!...Ndani ya gereza kuna wafungwa na mahabusu. Wafungwa ni wale ambao makosa yao yamethibitishwa na mahakama lkn mahabusu ni watuhumiwa, hawaja thibitishwa kuwa wamekosa na hawastahili kuadhibiwa kabla...
Huo utaratibu umeandikwa wapi na ni kwa sheria gani?...nyie watu inabidi muwe na aibu!...hamumuogopi Mungu?...mbona mnashindwa kufuata sheria na badala take mnajiegemeza ktk maagizo ovu ya mtu mmoja aliejaa hila. Hampendi demokrasia na hata katiba ya nchi hamuifuati. Nyie kina jingalao watu...
Kama haikuwahi kuwa tatizo ndugai alipoenda India kutibiwa ugonjwa "usiojulika" na bado akalipiwa gharama za hotel I ya kifahari, wasaidizi nk basi hakuna tatizo kwa lisu. Labda kama kunaishu nyingine
Eti ee!...tarehe 30 Desemba2018 aliyoiahidi waziri mkuu bado haijafika, na pia ule uwanja wa ndege wa chato bado haujaanza kujengwa!...hapa kazi tu kwani hujaona kuwa korosho zote zimesha nunuliwa, tena kwa bei elekezi na wakulima wote wamelipwa cash. Kusini kuchele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.