Search results

  1. Kwenwa

    Naomba msaada tafadhali

    Nina mdogo wangu kachaguliwa chuo Cha utumishi wa umma yaani Tanzania public service college kusomea certificate in secretarial studies Sasa swali langu najiuliza akihitimu ataenda kufanya kazi wapi na Kama nani. mwenye kujua tafadhali anijuze Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom