Search results

  1. mzeewaSHY

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Umenena sahihi kabisa ! Dawa kunywa mara tatu kwa siku tulikuwa tunajua ni kila baada ya masaa manne tunatakiwa tunywe au tuwanyweshe watoto wetu ! Na ndivyo tulivyokuwa tukifanya miaka nenda rudi until recently ! Tumekumbuka shuka kumeshakucha !!
  2. mzeewaSHY

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Paragraph ya mwisho ya mleta mada ndio hitimisho zuri ambalo limeeleza hali halisi ilivyo kwa watunga sera wetu ambao wao ndio wamechanganya juice bia na mataputapu pamoja !! 🙏
  3. mzeewaSHY

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Hao jamaa ndio wabaya wa Nchi hii !
  4. mzeewaSHY

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Mpaka Wazungu wanajitahidi kuharibu legacy ya Mwendazake 😅🙏 Wanaogopa sera zake za kuwabana mabeberu wasitoroshe madini inaweza ikaigwa na Nchi nyingine za Afrika 😅😅🙏🙏 ! Hii yote ni kuwafanya Waafrika waamini kwamba sera za yule jamaa hazifai kabisa ndio maana alipoondoka tu sasa Tanzania...
  5. mzeewaSHY

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Poleni sana ! Mungu awasaidie 🙏🙏🙏
  6. mzeewaSHY

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Wapi hapo. ??
  7. mzeewaSHY

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Kwakweli ile ilikuwa funga kazi !
  8. mzeewaSHY

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Hatari sana 🙄 !
  9. mzeewaSHY

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Hiiiiiiii ! Likaji 😱😱😱
  10. mzeewaSHY

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Ukiwatendea uovu watu ujue kwanza kabisa malipo yake yatafanyika hapa hapa Duniani !!
  11. mzeewaSHY

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Ushauri mujarab kabisa. ! Ni kweli kabisa akawaombe msamaha na wakiri kwamba wamemsamehe ! Vinginevyo ni kazi bure !!
  12. mzeewaSHY

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Selfishness ndio hulka yetu ! Tunafikiria kujilimbikizia kwanza !! Maendeleo baadaye !
  13. mzeewaSHY

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Pesa za kula huwa sio issue kwao maana wanazo nyingi sana hata zingine hawajui pa kuziweka !! Kitu ambacho huwasumbua ni kukosa peace of mind inayowapelekea kuwa na wasiwasi wa nini kitatokea mbele ya safari !!
  14. mzeewaSHY

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    This time ni wao kwa wao ! KARMA Imeanza Kazi !
  15. mzeewaSHY

    Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

    Panapo ukweli uongo hujitenga !! Sometimes mtu inabidi aseme ukweli tu ! 🙏🙏
  16. mzeewaSHY

    Kigwangala, kumsifia Rais sio uzalendo wa kwanza, nchi yetu ni Jamuhuri sio Ufalme

    Dhuluma ni mbaya. ! Hata kuiba Kura ni Dhuluma kubwa !
Back
Top Bottom