HONGERA HAMAD RASHID kwa ujasiri wako wa kutumia uhuru wako wa kujitamka,na kuchaguwa.
Uliyoyataja katika "Yaliyojiri " yameamsha wengi.
HAPANA UTUME WALA UMILIKI WA CHAMA NA SIASA ZA ZANZIBAR.WEWE MZANZIBARI-MTANZANIA UNA UHURU
WA KUJICHAGULIA .
Fuguwa chama na hilo litakuwa ni pigo kubwa...
Uasili wa upotohaji kadhia hii ni ile namna wanasiasa husika walivyoiaanda mada hii kwa misingi ya jazba
na Ugomvi badala majadiliano ya kiheshima baina ya wote wahusika .
Waliochaguwa Monologue badala ya Dialogue ndio wapotoshi - Nini kilichokuja kwanza YAI AU KUKU ?
Hilo ndilo suala la...
Napeleka hongera zangu za moyo kabisa kwa Hamad Rashid kwa Ujasiri wake ,kujitowa kwenye shemere
za Seif na Jussa .Hamadi sema kweli bila ya kuitowa makali.Wakati umefika unafiki na uyakhe yakhe ukome.
Umiliki binafsi wa chama ukomeshwe - unafiki na masikilzano ya kisiri siri baina...
Faida zote zimo katika kiinyume ya zile hoja zote za Wapinzani wa Muungano wa dola mbili huru.Wakizisahau hisia butu za
"Usisi/Utanganyika" na "Uwao/Uzanziibari" au kuwacha hisia butu za "Uvisiwani dhidi ya "Ubara" na badala yake kuboresha
na kuudhibiti Utanzania,wenye misingi ya jadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.