Search results

  1. Utopologist

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Baada ya hii afcon Samatta na Msuva wastaafu tu kimataifa, hakuna wanachoongeza kwenye hii timu na kiuwezo hawana tofauti na wachezaji wa kawaida wa ligi kuu.
  2. Utopologist

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Unapiga long balls kama una target man anayeweza kushinda mipira ya juu kama John Bocco, sio pimbi kama akina Msuva. Naogopa huyu Morroco na mwenzake hawajui cha kufanya, wameishiwa maarifa
  3. Utopologist

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Hivi morroco na Mgunda wanategemea goli litapatikana wapi kama kila tukishambulia hakuna mchezaji ndani ya box la mpinzani? Tunaishia kubutua na kupoteza mipira tu, hakuna mchezaji anafanya mikimbio nyuma ya defense yao
  4. Utopologist

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Arsene Wenger mpaka machozi yamemlenga kwasababu tu ya pira robertino 😢
  5. Utopologist

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Goli Lao la pili ni kama tumewapa zawadi. Kipa na mabeki wote walipoteza concentration
  6. Utopologist

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Kama tuna kipa wa maana tungekuwa tunaongoza 2-1 Goli la kusawazisha la al ahly ni la kizembe sana
  7. Utopologist

    FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    Tukifungwa leo timu apewe Guadiola At least hatutaona mpira wa hovyo kama huu
  8. Utopologist

    FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    Tunacheza mpira usioeleweka, Kibu anarukaruka tu uwanjani.
  9. Utopologist

    FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

    Kwahiyo wewe ungependa atokee kwa Uto sio ?
  10. Utopologist

    FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

    Wengi wa walioujaza uwanja pale hawana uelewa wa kisiasa Hii ilikuwa ni fursa ya umma kuonesha ni jinsi gani hawaitaki na wamekichoka chama tawala
  11. Utopologist

    FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

    Hii ni aibu ya ulimwengu Tuna safari ndefu sana kama taifa kufanikiwa kwenye kitu chochote kile
  12. Utopologist

    FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

    Kwenye mechi yoyote CCM wakishajiweka huwa tunafungwa, iwe sisi, Gongowazi au Stars.
  13. Utopologist

    FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

    Mambo ya kisenge haya kusifu na kuabudu Fisiemu kwenye siku maalum kama hii Nimeamua kuzima TV
  14. Utopologist

    Mpira ni mchezo wa mipango na mikakati, sio hamasa na siasa.

    Timu ya taifa au vilabu vikifanya vizuri wanajitokeza kutoa hamasa, wakifanya vibaya TFF analaumiwa.
Back
Top Bottom