Search results

  1. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee habari za humu ndani, kama Kuna anayetumia sportpesa anisaidie kuedit hii train tupate mkeka tumle mhindi. Code hii hapa. teSrA7
  2. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumekucha waungwana, mikakati ya maana tumgaragaze adui yetu. Tutupie code sasa hakuna kupumzika.
  3. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mechi nzuri leo tusiache mbachao. Tumnyatie kanjibai.
  4. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yuda Iskariot mikeka mimgine inafika mara moja moja, huu ulikwepa mishale yote ukafika na mabehewa yake yote 45 japo nauli ilikuwa kidogo.
  5. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man U ndiye Player of the day!.
  6. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuu yaani Liverpool anapewa ubingwa kiulaini hivi hivi!.
  7. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa Wolve waninifelisha kabisa.
  8. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siku imeisha ya vilio, tuamke saa ngapi kuanza upya?.
  9. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani eeh Bayern Munich kagongwa vibaya muno.
  10. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mtu anawatukana mamba huku anausogelea mto avuke ng'ambo. 😄😄😄😄😄😄😄.
  11. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpira kweli unadunda walai.
  12. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuuu! Queen Park naye kasepa na Kijiji changu Cha matumaini.
  13. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betting ni noma leo Derby wameshindwa kutoa over 1.5. Duuu.
  14. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huko virtual si pa kusimuliwa wala kuambiwa, kule unageuzwa virtual kabisa kabisa. Unaweza ukaanza kujihoji mwenyewe.
  15. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata Mimi nimeweka hivyo hivyo odd zilikuwa 6+
  16. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anataka odds 10 muelewe tu. Chukua hizo zilizobzkia ongezea kamechi kamoja alafu mpatie, yaani utengeneze wewe imani yake iko kwako. Muelewe vita ngumu hii.
  17. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😁😁😁😁😁 Leo Bayern Munich yuko jikoni anaandaa lost moja matata. Ikipakuliwa lazima kila mtu aionje kwa namna yake.
Back
Top Bottom