yeah but tambua US sio bongo.. raisi wao wa awamu ya tano walimchagua kabla hat raisi wako wa awam ya tano haja fikiriwa kuzaliwa so..mi nasemag tusijifananshe na nchi kama hzo kwny u leo.. all in all wote tuta being affected iwe neg or positv way kwakua baba yetu mmoja ambae ni tz.. acha tu...
Ilipangwa tuulizwe sie tulio kuwepo kwenye semina za CCM Dar tukwambie mipango mikakati..npo back stage natabasam tuh. Watanzania asilimia nyingi tupo shallow.
Kama hujafka level za Bakhressa bas usiite mtu maskini.. kama unaingiza milioni kwa siku mwezi usijione Bill Gates kwamba unaeza muajiri mtu yeyote unaechatt nae...at the first point you are the one ulioanzisha dharau .. naona unajiuma uma tuh mara mabeberu mara milioni mara juu ya mawe.. acha...
yes bro.. kuna mtu ananiambia alkua kwnye semina dar ya ccm..u cant belive kwmba yalokua yanatokea kipnd cha kupiga kura yalikwsha pangwa.. mikakat ya mawakala wa vyama vingine vikubwa kucheleweshewa kupewa form ilkua moja ya mkakati na tukubali tukatae hv vyama vidogodogo vimenunuliwa na ccm...
Hakuna Tume huru tanzania since inaundwa mkuu...ukweli ndo huo...kama takukuru tu wenyew wanakula rushwa, tanzania taasis gan ipo sawa ? tuache point insha tuende na uhalisia
watanzania tuamke.. vtu vipo dhahili lakin mtu kutokana na u ccm ana ponda..hujiulz kwann kura ziwe zao ndo feki mitandao waminye mawakala wasumbuliwe..mbona haitokei kwao.. napata taab nnapo muona mtu analeta uchama kwnye swala la u nchi.. ukwel mi kwamba asilimia nying ya wananchi wanajua...
😂😂 mkuu huyu meko full safar hii kalamba jiwe la chumvi ya ng'ombe... hatuja sahau /distinction,A+ ,B+ alaf tunarudshwa tena kwny division one,A-plain,B-plain.... mara wazir wa elim kaongea hv...matamko tamko tuh yasiyo na mbelewala nyuma..sahv wakawatamkie ndugu zao wa chatonge hukoo
Ni Afrika tu ambako ni haki ya mwananchi kupiga kura laikin ujue kupanga matokeo mchezo wanaumiliki wao... so sijajisumbua.. kama mtandao umezimwa unafikiri kitugan kingine kinawezekana ? everythng bro.. mi naangalia kwa mbaaali...
ni wazi wanachukiza
Lakini mtu ukiongea tu hivi atabisha.. kuna mtu kanambia mpigie CCM kura urahisi nikamwambia nipe sababu tatu kashindwa kunipa..huwezi ukanambia eti madaraja barabara na ndege hivo vitu vilitakiwa viwepo since hata hajafikiriwa kua rais na hata kama asingeleta yeye hata mwengine huko angeleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.