Search results

  1. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Tz watu hasa vijana wangekua na uelewa kama huu mpira ungefika mbali zaidi ya hapa ulipo. Asilimia kubwa ya vijana hawauelewi mpira. Ball possession ya Mamelodi ilikua ya back pass sana kwenye eneo lao na hasa kwa goalkeeper Williams akicheza na defenders wake. Ukiangalia kwenye statistics kuna...
  2. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Faida ni kwamba Simba atafunguka sana ili kubalance lile goli la kwa Mkapa na hapo ndipo Mwarabu atakapomaliza mechi.
  3. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Kwenye matuta mara nyingi team mwenyeji na hasa ambayo ni superior tayari huwa inakua Kwenye pressure, ni rahisi sana kupoteza. Mamelodi wasiombe kufika huko na hawatataka kufika huko, watajitahidi kumaliza mechi ndani ya 90 mins.
  4. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Mwambie. Coach Benchikha akiwa na USMA alichukua ubingwa wa Super Cup mbele ya Al Ahly kwa ushindi wa goli moja akiwa na ball possession ya below 30%
  5. Ng'wale

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Mpira umechezwa kwa mbinu baada ya kuona kuna baadhi ya key players hawapo. Subiri Pretoria.
  6. Ng'wale

    Namna wanavyokokotoa possesion (kumiliki mpira), nashauri waigawe ktk vipande vitatu ntatumia MAMELOD VS YANGA kama case study

    Vichaka vya kujificha Simba vinafyekwa vyote. Ooohh Yanga wamefika fainali kombe la shirikisho waje huku kwenye club bingwa. Oohh Yanga hawezi kuingia makundi ya champions league, mara Yanga akaingia tena kwa kishindo. Oohh Yanga wataishia makundi hawawezi kuingia robo fainali, Yanga wakatinga...
  7. Ng'wale

    Al Ahly ikiitoa Simba itakuwa ni dharau kubwa sana

    Mkuu, Simba ni underdog kwa Al Ahly kama ilivyo Yanga ni underdog kwa Mamelodi. Ubishi wa nini? Unapata shida kuitwa underdog? Pambana uwe mkubwa ili ukwepe hilo jina. Cc Isanga family
  8. Ng'wale

    Key player wa Al Ahly Kuikosa Mechi dhidi ya Simba

    Hapa inajadiliwa Al Ahly na Simba.
  9. Ng'wale

    Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Hivi unajua ukubwa wa hii mechi?
  10. Ng'wale

    Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Wote watacheza? Au wote hawatacheza?
  11. Ng'wale

    TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

    Ni errors za kiuandikaji..... wewe umeandika.... ......will bot be used......
  12. Ng'wale

    Imani yangu ni kuwa Yanga Atacheza nusu fainail, wale wengine watakufa kiume

    Mmeshaanza kufukua ya 1974 ili tu Yanga akienda Semi final isiwe jambo jipya kama mlivyofanya kwenye Confederation Cup Final ya Yanga vs USM Alger.
  13. Ng'wale

    Imani yangu ni kuwa Yanga Atacheza nusu fainail, wale wengine watakufa kiume

    Report ya Dr inasema atakua nje ya michezo kwa wiki 3. Sasa hapo hata akipona bado kuna muda wa kurudi kwenye match fitness. Hawezi kucheza huyu.
  14. Ng'wale

    Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

    Tuombe Simba na Yanga zote ziingie Semi final (kama itawezekana) halafu zikutane zenyewe tumalize ubishi. Kichaka cha robo fainali kimefyekwa ndiyo maana watu wanapagawa. Tusubiri hatua ya kuingia semi final itatupa majibu.
  15. Ng'wale

    Quarter final ya Simba ni hatari

    Maana yangu, ukiziweka timu zote 8 kwenye list ya uwezekano wa kusonga next stage, Simba ni ya mwisho. Zitatoka timu 4 na Simba ikiweko. Subiri mechi za robo fainali zianze utaelewa haya maneno.
  16. Ng'wale

    Quarter final ya Simba ni hatari

    Hapa kuna 90%
Back
Top Bottom