Their budget is worth 3.3 Trillion kshs, out of this 1.36 Trillion goes to pay debt( Debt repayments) and 1.34 goes to recurrent expenditure! So for the first time in their country's history debt repayments have now exceeded recurrent expenditure which unfortunately is not good at all, 600...
T
This list is absolutely not accurate at all, for starters kuna nchi ambazo ziko kwenye hali mbaya kuliko Tanzania economically, socially, infrastructure wise etc, nchi kama Syria,Libya,Zimbabwe just to mention a few! Do u tell me these countries are better than TZ?? Hata wewe nadhani...
In the next five years mahitaji ya umeme yatakuwa makubwa sana, hii investment yote itakuwa kigamboni na Huyu ni one investor, amesema kuna investors wengine kutoka Egypt wanataka kuja kuinvest! On top of that kuna industrial parks zinakuja kuanzishwa pwani hivi karibuni na mama juzijuzi alikuwa...
Elsewedy company from Egypt imeshapewa ardhi today kuanza ujenzi wa viwanda vyake almost 50+, gharama nzima will be 3 billion dollars na watanzania wapatao 40000 wataajiriwa directly and more than that indirectly. SOURCE: TBC ARIDHIO BUSINESS NEWS.
Tungekuwa tunapokea chakula cha msaada wakati ardhi yetu ni fertile, sawa tungeona aibu lakini kitu hiko hakijawahi tokea na kuhusu madini ni below 5% ambayo ndo yanachimbwa! Now turudi kwenye main topic maana mmeshaanza excuses zenu! Rais wenu wakati akihutubia bunge last year alisema Kenya is...
a couple of days ago walipewa donation ya maize na Kuwait! Kuwait of all countries, nchi ambayo in jangwa almost 100%, now wanapewa rice donation from China, waangaliwe wasije pews plastic rice. Kenya mnatakiwa muone aibu kwakweli, East Africa biggest economy inapokea food donation its...
alikatazwa na nani??? Where did you get that info??, the only thing that Kenyatta will accomplish from this meeting no kupata vaccines, nothing more nothing less! Biden currently ana mambo mengi kichwani mwake from his infrastructure agenda kukwama Congress, debt ceiling, supply shortages across...
I don't see anything wrong with it, as long as she gets the job done! That's fine by me, after all even Tanzania appointed sho madjozi as brand ambassador.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.