Search results

  1. C

    Rais Samia, Tanzania ni moja na hakuna mpasuko wowote. Tupo wamoja sana

    Angalizo lingine kwa mama,ukiona watu wote wabakusifia,wabakupenda na hata wapinzani sugu wa serikali ya CCM wanakuona u Bora kuwa ya kuwa waneona upenyo(udhaifu) wako. Tuwe wakweli toka enzi za Mwl Nyerere,Mwinyi,Mkapa,na Magufuli,hatujawahi kuwa na urafiki,wa dhati na Kenya.Siku zote urafiki...
  2. C

    Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

    Bwashee hata ukiwaambia hawasikii.Si unakumbuka Mzee Lowassa aliwaambia waache uanaharakati waingie kwenye siasa za hoja, agenda,sera,na kujiandaa kukamata dola,matokea yake aliambulua vitusi chungu nzima.
  3. C

    Hivi ni siri gani za nchi ambazo viongozi wanaapa kwamba hawatatoa?

    Siri zinatunzwa kuanzia ndani,wewe siri zako unazianika hadharani? Kama zako hutaki watu wajue,kwa Nini unataka za taifa ziwe Wazo?
  4. C

    Hivi ni siri gani za nchi ambazo viongozi wanaapa kwamba hawatatoa?

    Sasa ukifahamu mifano ya siri hiyo utakuwa siri Tena?
  5. C

    Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

    Mkuu Hilo ni swala la kikatiba,mwenye jukumu la kutwa kuchagua jada hizo za kazi ni raisi na si vinginevyo.
  6. C

    Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

    Gawio linalipwa kutokana na faRaida iliyopatokana. Huwezi kufanya biashara alafu ujapata hasara ukalipa gawio,hiyo haiwekani,kwa maana nyingine utakuwa unakula mtaji na si gawio.
  7. C

    Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

    Hivi huwa mnakaa hata kidogo,kusikiliza mkuu wa nchi anaongea Nini,au ukisikia neno moja bila hata kutafakari mnakimbilia kupost.Mbona rais kasema.uwanja wa.ndege Dodoma uarakishwe kujengwa maana tokea awamu ya Kwanza ya awamu ya tano,uwanja huu ulitakiwa kuanza kujengwa?
  8. C

    Zitto Kabwe: Kabla ya kuja wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru

    Mbona hii hoja Haina mashiko,kabla ya kuja wakoloni KILA Kanika ilikuwa ni nchi chini ya utawala wa machifu.
  9. C

    Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

    Mkuu uwe unajua katiba inasemaje kuhusu nafasi ya waziri mkuu. Kwa mujibu wa katiba waziri mkuu atateuliwa kutoka jibu la uchaguzi, na LAZIMA atokane na chama chenye wabunge wengi bungeni. Hivyo ili Dr Bashiru awe waziri mkuu,ni LAZIMA Kwanza akagombee ubunge kwenye Jimbo la uchaguzi,kiisha...
  10. C

    PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Mkuu hoja ilikuwa ni utajiri wa Marehemu Magufuli binafsi kuwa no mkubwa kuliko Mobutu.Uwanja wa ndege chato ni Mali ya serikali na sio Magufuli.
  11. C

    CCM ni ile ile, hakuna kimpya

    Kipi? Funguka. Hivi vingine pamoja na kupata mamilioni ya fedha za ruzuku waneshindwa sio tu kujenga ofisi ziendazo na hadhi ya chams,Bali hata kukarabati tu imeshindikana,wakikamata Dola wataweza kujenga nchi? Waswahili tuna msemo dalili ya mvua ni mawingu.
  12. C

    Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

    Mkuu awamu sio miaka Ila awamu ni viongozi,huyu ws Sasa ni rais wa sits ,hivyo awamu ya Kwanza au rais wa Kwanza ni Mwl Nyerere,awamu ya pili au rais wa pili ni mzee Mwinyi,awamu ya tatu au rais wa tatu ni hayati Mkapa...... Mpaka unampata mama Samia,ni rais wa sits au awamu ya sits.
  13. C

    CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

    Mara zote CAG amekuwa akitoa taarifa ya hasara kwa ATCL, hakuna mwaka ambao CAG amewahi kusema kuwa wametengeneza faida. Kuna tofauti kubwa Kati ya fedha za mauzo na hasara. Hasara inatokana na vitu vingi,vijiwemo 1-Matumizi 2-Uchakavu. Kwa mfano thamani ya ndege moja no Tshs 290,000,000 na...
  14. C

    Siku 21 za maombolezo ni nyingi mno

    Nakumbuka baba wa wa taifa mwalimu Nyerere Baba wa Taifa mwalimu Nyerere,tukiomboleza kwa siku 30 yaani mwezi mmoja kamili,wewe hukuona kuwa mwezi ni mkubwa mno,Leo hii kwa sababu anayeombolezewa sio wako unaona siku 21 zinakuwa nyingi kuliko mwezi?Kweli?
  15. C

    Mmoja kati hawa akipata madaraka ya Makamu wa Rais nchi itagawanyika

    Mkuu haupo haupo sahihi.Maswala ya dini,ni LAZIMA ubalance kwenye utawala.Tokea 1961 tunapata Uhuru.Tokea 1964 tunaungana HAIJAWAHI,dini moja kushika nafasi za juu zote. Makamu wa raisi ajaye atatokana miongoni mwa Wana ccm ambaye ni LAZIMA atakuwa Mkristo.
  16. C

    Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

    We mama una roho mbaya sana,ulikata Maalimu Sefu mwenye umri wa miaka 78 sasa akose vyote? 1-Urais 2-Makamu wa kwanza wa rais 3-Pension ya uzeeni. Unafiri panapo uhai 2025 akiwa na miaka 83 atagombea tena?
  17. C

    Hongera Polepole, CCM itamisi nafasi yako - Bungeni nako ng'aa

    Mkuu angalia unamtukana Pole Pole bila sababu. Hongera wanapewa Alina mama. Wanaume unawaambia kongole.
  18. C

    Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

    Bwashee na wewe umo kwenye hiyo kamati?Mbona unawalisha CCM habari ambayo kwa asilia 100 umekwisha amua?
  19. C

    Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Mkuu hakuna aliyemuibia Kura mwenzake.Chadema hawakujianga kwa uchaguzi.Hata taasis moja ya Kenya ilishatabili kuwa CCM wangeshinda kwa asili Mia 79.6 Sasa hapo ukiweka plus or minus 5 utaona wazi kuwa utabili wao ulikuwa sahihi.
  20. C

    Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Uchaguzi ulikuwa huru na haki.Tofauti na chaguzi zilizopita uchaguzi wa 2020,upinzani haukujiandaa. Chadema hawakuwa wamoja.Kampeni ya urais aliachiwa mgombea pekee,wabunge Kila mmoja Alikuwa kivyake,hapakuwa na coordination Kati ya field officials na head office. Kubwa na Kali Ni ujumbe...
Back
Top Bottom