Search results

  1. K

    Malipo ya Wabunge ni kufuru

    Hao waache hata wafe hasa walimu yaani ni mazumbukuku kupitiliza wanaimba nyimbo za "kusifu na kuabudu"kwa watawala,natamani ikibidi wapunguziwe mshahara.
  2. K

    Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

    Wewe yako ya wapi!?, fan wa Magufuli!?.
  3. K

    Yule Tundu Lissu aliyekuwa anaandikwa kila kurasa yuko wapi?

    Endelea Kutafuta uteuzi kwa kumtajataja Lissu labda utafanikiwa
  4. K

    Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

    Wanaweza kusamehewa ila wasahau huo ubunge
  5. K

    Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

    Mkuu mbona unajikanganya!?, mara ujifanye chadema mara mshauri, embu rudia kusoma andiko lako.
  6. K

    Je, Serikali ina uwezo wa kuwalinda Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliofukuzwa Uanachama?

    Nyie lumumba buku7 fc mbona mnaweweseka sana juu ya Mbowe!?
  7. K

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Nashukuru mkuu, tayari chama kilitangaza hakitambui matokeo ya uchaguzi, hivyo suala la ubunge halipo automatically kwa muktadha huo.
  8. K

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    shida huyu full makosa mara "msamaa "badala ya msamaha, "hujalewa "badala ya hujaelewa, sijui hawa Lumumba buku7 fc shule haikuwasaidia!?.
  9. K

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Ubunge gani wakati msimamo wa chama ni kutoyatambua matokeo!?
  10. K

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Ndo jambo nililoshauri mkuu.
  11. K

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Acha kutukana watu,kila mtu ana maoni yake, nyie praising team mbona hatuwatukani!?. Pia sio lazima uchangie kuficha ujinga wako, waweza soma ukapita.
  12. K

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Wapo,wazima kabisa, karibu sana mkuu.
  13. K

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Chanzo cha taarifa hizi ni kipi mkuu!?.
  14. K

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Mkuu Bujibuji naelewa kosa walilotenda limeumiza wengi ila kwa ushauri wangu wasamehewe tupunguze hasira katika hili.
Back
Top Bottom