Samahan ndugu zangu,
Napenda tu kujua kwa anayejua hii Mechanical Engineering anisaidie, je mtu aliyesoma degree ya mechanical engineering na aliyesoma diploma ya mechanical engineering kuna tofauti gani kati ya hawa watu.
ASANTENI[emoji120][emoji120]..
Wakuu nilikuwa naomba kwa wale wanaosoma na waliosoma chuo kati ya hiki cha DIT na NIT... Nilikuwa naomba mnijuze je kwa kozi ya DIPLOMA in MECHANICAL ENGINEERING kwa DIT na NIT kwa miaka hii ni chuo kipi kati ya hivi viwili kipo vizur katika mazingira na vitendea kazi kwenye kutoa hii kozi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.