Search results

  1. B

    Uchaguzi 2020 Uzuri wa CCM huwa hawana papara

    CCM ni Chama kilichojijenga na Ina misingi Imara kuanzia kwenye Kata na Mashina, Ushindi unatafutwa kila sehemu sio Mijini kama CDM. Et wao wanaishia kwenye Makao makuu ya Mikoa tu alafu wategemee was hindu uchaguzi na kuacha wapiga kura wengi Vijijini. Kila siku wao ni Kushinda Twitter...
  2. B

    Ukitaka kuigawa nchi katika majimbo ni kukiuka misingi ya nchi ,kila nchi ina misingi yake

    Nchi yetu imejengwa kwenye Misingi ya Umoja na Undugu, Kutugawanya kwenye kwenye Makundi ya Kimajimbo ni kuvuruga umoja wetu wa Watanzania kama nchi moja. Wanaokuja na hoja hizi ni wa kuwapinga kwa Nguvu zote.
  3. B

    Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

    Kwa kweli hatutaki cha ziada zaidi ya JPM Mwenyewe. Rais wa watu wote, Aendelee kukuza uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja ila sio swala la kuwapa Wawakilishi wa Mabeberu.
  4. B

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Ndugu hawa wapinzani wamechanganyikiwa? Hawakai Bungeni taarifa zinapitishwa wao wanazurura chako ni chako. Documents zinaonesha Manunuzi yote ya ndege za ATCL budget zake zimetengwa na Kwenye Manunuzi Bunge limeshirikishwa. Wao ni Wabunge kweli kwa Majukumu au ni Majina tu.
  5. B

    Uchaguzi 2020 PICHA: Tundu Lissu Misungwi, maelfu ya watu wakishuhudia mkutano wake

    Iv nyie kwenye Mahesabu yenu Maelfu ya watu wanaanzia ngap? Mnasema Maelfu wakati uhalisia wa watu hata Elfu moja hawafiki, Iv mnamdanganya nani? Au mnataka kusema mliibiwa kura? Kwann mtumie Picha za Mwaka 2015 wakati wa Lowassa? Naona kifo Chenu kimefika mshaanza kutapatapa.
  6. B

    Uchaguzi 2020 PICHA: Tundu Lissu Misungwi, maelfu ya watu wakishuhudia mkutano wake

    Iv nyie kwenye Mahesabu yenu Maelfu ya watu wanaanzia ngap? Mnasema Maelfu wakati uhalisia wa watu hata Elfu moja hawafiki, Iv mnamdanganya nani? Au mnataka kusema mliibiwa kura? Kwann mtumie Picha za Mwaka 2015 wakati wa Lowassa? Naona kifo Chenu kimefika mshaanza kutapatapa.
  7. B

    Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

    Ukweli ni kwamba wapinzani wamekosa sera na maji yamewafikia shingoni. Njia pekee waliyobakiwa nayo ni Matusi na Kutumia hoja nyepesi badala ya kunadi sera zao na Ilani ya vyama vyao
  8. B

    Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

    Alichosema Ndg Humphrey Polepole ni kweli. Tundu Lissu amekua ni Mtu wa kudanganya Umma wa Watanzania wanaoenda kumsikiliza kwenye kampuni zake. Kadanganya kuhusu Uwanja wa Wandege wa Mpanda, Kadanga kuhusu treni, Kadanganya kuhusu vitambulisho vya wamachinga. Amekosa mwelekeo, Anatafuta kura...
  9. B

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dotto James: Hatukurupuki, miradi na fedha/mikopo Bunge linahusika kisheria

    Kiuhalisia Wizara ya Madini imekuwa makini sana kwenye swala zima la Mikataba na Kampuni za Uchimbaji wa Madini Kama vile Barick. Mapato yatokanayo na Wizara hii nyeti ya Madini Imeongezeka na Kufikia billioni zaidi ya 568 na kuchangia zaidi ya 51% ya vitu vinavosafirishwa nje ya nchi kutoka...
  10. B

    Uchaguzi 2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

    Wamechelewa kufanya Muungano huo kama Sheria inavowataka... Kwasasa wakae kwa kutulia Dawa iingine, Walitahadharishwa kujiunga mapema kabla ya Uchaguzi kwani Nguvu ya JPM sio ya kitoto. Wapinzani mtaburuzwa sana mwaka huu, Litakufa Jituu🔥🔥🔥🔥
  11. B

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Hakuna Mapenzi yoyote zaidi ya Kutia huruma na Kulalamika kwenye Majukwaa badala ya Kumwaga sera na Kunadi Ilani ya Chama chake cha CDM.
  12. B

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Exactly ,Watu wanatembeza Bakuli kuomba pesa za campaign alafu mwenyekiti anazichukua kiwepesi watu wataacha kuchanganyikiwa?
  13. B

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Mbowe anapambania Kiti chake kule hai japo mambo ni magumu na amezidiwa sana na Wanachi hawahudhurii kwenye Mikutano yake. Amekua Mwakilishi wa Jimbo la Hai lakini hakuna maendeleo yoyote aliyofanya pale na Amekua akionekana kipindi cha Uchaguzi kuomba kura wakati huu hatekelezi majukumu yake...
  14. B

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Kuna Mgawanyiko Mkubwa ndani ya CDM kutokana na Maswala ya Fedha. Ni kweli hawako stable kwenye maswala ya kiuchumi lakini zile 50M bado inazidi kuwachanganya. Mbowe kapiga pesa ndio Maana kampeni zao zinasuasua ,Kubwa zaidi kuliko hilo ni maelewano Mabaya kati ya Lissu na Mbowe. Wakati wa...
  15. B

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Tabora leo Septemba 20, 2020. Updates zote zitawekwa hapa: Ameshafika Tabora na Kwasasa anazungumza na Wananchi wa Kaliua
  16. B

    Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM na mgombea wao waanza kutumia chopa kama usafiri wa kampeni

    Helicopter hiyo haitatumika na Mgombea wa Urais kwenye kampeni bali itatumika na Baadhi ya wagombea wa viti vya Ubunge,Mgombea wa Urais atatembea kwa Usafiri wa gari ili kufanya coverage kwenye mitaa na vijiji vyote.
  17. B

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Wakutuchanganya sio huyu Mwenye uchu wa Madaraka anaetumika na Mabeberu
Back
Top Bottom