Search results

  1. Fekifeki

    Kwa watumiaji wa Ucbrowser!

    Kuna tatizo limetokea kwenye simu yangu wakuu, yani kila nikifungua Jamiiforums sipati picha, avatars wala kitufe cha 'like', hutokea pale nitumiapo Ucbrowser. Hili tatizo limetokea karibia mwezi mmoja na nusu hivi umepita!! Wakuu ni kwangu tu au ni kwa wote watumiao uc browser?? Naombeni msaada...
Back
Top Bottom