Search results

  1. LOWE89

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Nipo Mwanza ni kama dk 25 zilizopita WAMEKATA. Hivi kuna kigugumizi gani kusema kuna mgao!!!! Watu tunashindwa kupanga mambo muhimu yanayohitaji umeme, sababu hujui kama utafanikiwa. UNAJUA WANAKERA, WANAKERA HADI BASI Sijui ni mbinu ya nini au ni kumfaidisha nani na kwa namna gani?. Hata...
  2. LOWE89

    Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    Zamani nilikuwa nasikia Yanga wakipata goli wanaimba "CCM-CCM-CCM........ bado wanafanya hivyo?
  3. LOWE89

    Hii inakukumbusha nini?

    Lo! nakumbuka nauli ya uda ilikuwa sh moja na magari binafsi yakaruhusiwa kutoza sh tano, wakati huo iliitwa dala (sijajua kama ililingana na dola). Makonda wa magari hayo ya binafsi wakawa wanatangaza hiyo bei ya sh tano, kuwa usiingie humu bila dala! Ili kuita abiria wakawa wanatangaza - Dala...
  4. LOWE89

    Fashion na mitindo ya mjini

    Niliwahi kuona Diwani mmoja wa huko Mtera wa magamba kavaa hivyo!!!!
  5. LOWE89

    Kinana atumia dk zaidi ya 45 kuiongelea CHADEMA

    Yoote tisa anaweza kuwa anatafuta mzigo wa NYARA ZA SERIKALIkwa ajili ya kusafirisha ili aweze kupata hela za kuihonga ccm ili abakie madarakani. Meli zake hazina mizigo kwa sasa baada ya udhibiti. kuwa na madaraka makubwa kwenye nchi ya watu kama hii ni kutamu sana.
  6. LOWE89

    Nyie CCM, nani atawalipia Watoto hawa Muda wao? Siasa Mashuleni

    labda wanaelezwa kuwa elimu sio lazima waweza kufanya biashara ya nyara na huko kigoma jamaa si amesafiri kwa treni atakuwa amewaona wengi humo njiani. Anawaambia mna mali asili nyingi hamna haja ya darasa!!!!!
  7. LOWE89

    Namleta Kwenu Kamanda Lilian Wasira, Karibuni kwa Maswali & Majibu

    Nakupongeza kwa majibu/maelezo mazuri yenye mwelekeo, Nashauri viongozi wajipange kufika maeneo yanayodaiwa kuwa ngome za ccm ili kuwaamsha watu juu ya ukandamizaji unaofichwa kwa kisingizio cha miradi michache isiyo hata na ubora unaokubalika. Mmoja ametaja kuwa kuna mamluki ndani ya cdm ambao...
  8. LOWE89

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Serikali kama haina hospitali katika wilaya fulani inatafuta hospitali gani ipo katika eneo hilo, bila kujali ya dini gani na baada ya kuipata inaiteua hiyo kuwa ya wilaya, na wataalamu wake watapelekwa hapo ili wawahudumie wananchi wa wilaya hiyo. Ikiwa inafanya hivyo lazima pia ipeleke dawa...
  9. LOWE89

    Nape na Mwigulu Nchemba wanaipenda saana CHADEMA

    Wazo la kuwa na TV itakayojitegemea ni zuri zaidi, kwa sasa si rahisi kupata kituo kitakachokubali kuonyesha yaliyoko huko vijijini yanayoonyesha udhaifu wa serikali na kikawa salama. Siku Lukuvi yupo live star TV alipigiwa simu na msikilizaji aliyeponda sana mafanikio aliyokuwa anayataja...
  10. LOWE89

    Kauli ya Kikwete Vs Mfumo wa Taarifa

    utendaji na mawasiliano kupitia simu ya mkononi ya rais, mh nadhani anatakiwa ajiulize kwa wenzake simu ya rais inatumika namna gani, kwani hata wale walio na mambo ya kipuuzi watapiga au kutuma sms. haiwezekani rais apigiwe na kila mtu, ingetakiwa apokee mtu wa kujua nani anapiga na ana shida...
  11. LOWE89

    Lowassa kachezeshewa "chekundu cheusi"?

    Yote tisa nilipenda kama kuna mtu anaweza kutusaidia kutuwekea ile hotuba ya Mzee Mangula. Maana ni fupi mno na pengine mnaojua kuzichambua msaidie kwa nini ilikuwa vile.
  12. LOWE89

    Mtukufu rais wetu na huu ni uongo?

    Ukiangalia picha hizo ni kichefuchefu, maana utakutana na mashangingi kibao ambayo hata pinda anajua kuwa ni gharama kubwa kuyaendesha, lakini wanayo tu na wanayaongeza zaidi sijui hawajui hali ilivyo vijijini. Na sasa hivi naangalia Lwaitama anafoka kujenga flyovers wakati watu hawana maji...
  13. LOWE89

    Jee ingekuwa ni wafuasi wa CDM wamevunja uzio (ribbon) ya Polisi pale Kidongo Chekundu?

    nilikuwa nalinganisha idadi ya watu waliokuwa eneo alilouawa mwandishi na hapo kidongo chekundu, nimeona tofauti ni kubwa mno nadhani hawa viongozi hawako hapa kwa maslahi ya umma ila wamekipania chama kimoja tu ambacho wanajua kinakuja kunyang'anya tonge mdomoni. hawana ujanja ila kujaribu...
  14. LOWE89

    Msiba wa Mwangosi: Rais Kikwete ametoa Rambirambi?

    Nadhani hana taarifa za msiba huu, atakuwa anadhani umetokea nchi za mbali.
  15. LOWE89

    Said Mwema - Kuwa shemeji ya Rais ni leseni?

    Maslahi binafsi mbele
  16. LOWE89

    Hali muhimbili sio shwali,mgomo baridi umechukua sura mpya

    Tutajiridhisha kuwa mambo ni shwari, lakini hakika kama hakuna maridhiano ya dhati ni kujidanganya kabisa. mfano mzuri na wa karibuni ni walimu ambao serikali iliona kama wameridhiana kumbe haikufanya tafiti ya kutosha kujua kama wamekubaliana kwa dhati, kumbe walimu walitoka na kinyongo kibaya...
  17. LOWE89

    Uhuni huu wa TBC kuchomoa Signal Cable wakati Bunge Limetota haukubaliki.

    Hakika ni aibu kubwa mno watu tumeona tu Naibu spika kaganda na mkono wake mfukoni akiweka miwani, sijui hii tv ni ya aina gani ambayo hata haiwezi kubalansi mambo. Loo!!!! Tunaomba jioni ITV, Star Tv mtupe full coverage ya kilichoendelea baada ya hapo - tafadhari sana!
  18. LOWE89

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Mungu yupo pamoja naye atanyoosha mkono wake wa uponyani.
Back
Top Bottom