"Siku ya kufa nyani miti yote huwa inateleza" sasa na ninyi munaosingizia ITV ni kwa sababu tu ya mambo sasa kuwa elemea ila mkae mkijua kuwa wanchi wa tanzania sasa wameamka na wala sio wale ambao mulikuwa mumezoea kuwa buruza, sasa matumbo joto kwa kila kiongozi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.