Search results

  1. I

    Uchaguzi 2020 Kamanda Sirro: Vyama kulinda kura ni kosa la jinai

    Jeshi la polisi la tz ni vituko,wapo kwa ajili ya kulinda masilahi ya watawala na si kufuata sheria za nchi,hivyo vitisho utafika wakati wananchi watachoka
  2. I

    Lissu heshimu NEC, kama unataka mdahalo njoo ufanye mdahalo na mimi

    Ushabiki unapunguza uwezo wa kufikiri
  3. I

    Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

    Katika uchaguzi hakuna mgombea mwenye uhakika wa kushinda kwa hiyo figisu lazima ziwepo kujihakikishia ushindi hata kama wa mezani
  4. I

    Jesca Kishoa: Mwigulu Nchemba ametuaibisha wanyiramba na wana Singida wote

    Elimu imewafanya watu wengi kuwa wajinga,mtu mwenye Phd akizungumza hana tofauti na mtoto wa darasa la kwanza.
  5. I

    Mazito ripoti ya CAG - Janeth Rithe: Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’... Serikali hoi kwa madeni! Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT

    Lengo lake la kuua vyama vya upinzani ni kuficha wizi, kichaa kupewa nchi anaichezea atakavyo na hakuna wa kumdhibiti katiba inamlinda
  6. I

    Ubora wa CCM upo kwenye nini?

    Ubora wa ccm ni kumpa mwendawazimu urais mwenye kujifanya mcha Mungu kwa kuwahadaa watz wakati matendo yake yamezidi kiwango cha ushetani
  7. I

    Kudhibiti wahujumu uchumi: Mzee Kimiti amfananisha Rais Magufuli na mpambanaji shujaa Edward Moringe Sokoine

    Anamfananisha moringe na kibaka anaepiga pesa za uma kama ni pesa za baba ake
  8. I

    Ni mpaka lini Kaka Kassim atakuwa anamuogopa na anamfumbia tu 'Mafumbo’ mdogo wake Paulo?

    Paulo ni jipu ambalo bosi wa kasimu anaogopa kulitumbua
Back
Top Bottom