Search results

  1. M

    NBC wamekwishaita kwenye usaili?

    Wadau National Bank of Commerce mwezi January mwaka huu walitangaza nafasi nyingi za kazi na mimi ni mmojawapo niliyeomba moja ya nafasi hizi.Hadi sasa naona ni kimya,naomba kujuzwa kama wamekwishaita watu kwenye usaili au bado?Tafadhali mwenye taarifa kamili atujuze.
Back
Top Bottom