Search results

  1. K

    Baba yangu Mchawi... Anatuangamiza, nifanyeje?!

    Nataka nimchane Laivu, ila sijui ndo makombora yote atayaelekeza kwangu?
  2. K

    Baba yangu Mchawi... Anatuangamiza, nifanyeje?!

    Asanteni, mie mwenyewe nawaogopa hao waganga kama nini, bora jambazi mnapigana mnaonana.
  3. K

    Baba yangu Mchawi... Anatuangamiza, nifanyeje?!

    @Gaijin; Umechangia kiasi kwa mie ku-post hii thread baada ya kuona ulivyo-comment kwa mtu mmoja aliyesema kaka yake karogwa. Nikaona na mie nipost hiki kisa changu maana naona imani inaanza kutiswa na ibilisi. Jamani If I could give you details of my story, mtashngaa tunayofanyiwa na huyu mtu...
  4. K

    Baba yangu Mchawi... Anatuangamiza, nifanyeje?!

    Habarini wanajamvi, Inahitaji moyo wa ujasiri sana kutokeza kwenye jukwaa lililojaa wasomi, wacha Mungu, na watu wenye exposure ya kutosha kuja na mada ya uchawi. Hadi naandika haya sijui am half confused. Mimi mwenyewe I don’t practice witchcraft and don’t believe in it lakini kuna sequence...
  5. K

    Nishaurini nisiumie tena jamani..

    Tamthilia, Thamthilia, tamthilia. Wani Migel na Maricui wanagombana hata hawajui sababu ya kugombana.
Back
Top Bottom