Search results

  1. L

    Barabara hazipitiki jimbo la Chemba

    Jimboni kwa Nkamia miundombinu shida kila masika. Hali ya barabara jimbo la Chemba (CCM) la Juma Nkamia ni mbaya hasa kipindi cha masika. Viongozi na wawakilishi wa wananchi wamevaa miwani ya mbao. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Shida ya maji wilaya ya Chemba, Dodoma

    HII NDIO HALI HALISI YA HUDUMA ZA JAMII JIMBONI CHEMBA KWA NKAMIA, 80% YA VIJIJI VYA WILAYA YA CHEMBA VINA UPUNGUFU WA HUDUMA ZA JAMII HASA MAJI. Mkazi wa Kijiji cha Tandala, Wilaya ya Chemba, mkoani Dodoma, Aisha Khalifa akichota maji ya kisima kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kijijini hapo...
Back
Top Bottom