Search results

  1. R

    Mashine ya kutengenezea mifuko mbadala

    Habari ndugu zangu kwa pilikalilika za kutwa nzima ,nimevutiwa na ujasiliamali hivyo nikaona bora niingie katika suala la ujasiliamali. Ndugu zangu naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu mashine ya kutengenezea mifuko mbadala inapatikana wapi,na inauzwa sh ngapi .Natanguliza shukrani Sent...
  2. R

    Fursa gani zinapatikana mkoa wa Kigoma

    Ndugu zangu naombeni kunifahamisha fursa inayopatikana mkoa wa kigoma kwa wenyeji wa mkoa huo hasa wilaya ya kibondo ,nataka nihamie kigoma .Natanguliza shukran.
Back
Top Bottom