Search results

  1. M

    Mdee, Bulaya, Jacob, Kileo, Mwago na Asenga Wanashikiliwa Polisi Sitakishari, wadaiwa kufanya fujo Segerea

    Vurugu gani wamehamasisha? Wao wameenda kuwalipia na kuwatoa viongozi wao, mbona polisi na magereza wana double standards mbona ccm kila Sikh wanaandamana kufanya mikutano na kupongezana lakini sijaona aliyekamatwa?
  2. M

    Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

    Kwamba,bado uko imara, tunamshukuru Mungu kwa hadhina hii ya viongozi wa upinzani ambao pamoja navitisho Vya kimahakama, dola na hats vifo bado wapi imara kututetea na kuitetea demokrasia yetu. We Mungu wabariki viongozi wetu
  3. M

    CCM walitaka kumtumia Msigwa kwa namna tatu

    Siasa ni mchezo wa mahesabu ccm hawajui hesabu wanajua kutumia Vyombo Vya dola kujinufaisha. Hesabu walizo Nazi ni kununua viongozi badala ya wananchi. Hongera chadema kwa kujua jinsi gani ya kuucheza mchezo
  4. M

    Kwa tikitaka ya michango, siamini eti ndo CHADEMA itakufa. CHADEMA bado ipo sana sana

    Ni kweli jinsi propaganda za chama cha mapinduzi zinavyoaminisha watanzania kwa kuwanunua wapinzani uchwara eti wanakubalika ni kujidanganya na kuwahadaa watanzania
  5. M

    Hii ndio safu ya CCM mpya ya Rais Magufuli

    Hivi Samson Mwigamba anakwama wapi mbona magufuli hamuoni huyu jamaa nadhai kiutendaji alikuwa mzuri kwani alikua Mwenyekiti chadema Arusha baadae akahamia Dar kuwa mhasibu wa chama mpaka pale walipoanza kukwaruzana na mama slaa na baadae alipohamia ACT alikuwa katibu mkuu mbonabhaonekani na...
  6. M

    Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Mmmmmmh bado Mbowe anahitajika sana, tatizo mfano yote uliyoitoa ni ya dunia ya kwanza na ya pili anbayo mazingira yako ni tofauti kabisa na mazingia na siasa zetu. Hapa unazungumzia chama ambaçho hakijapewa kufanya mikutano ya hadhara kwa miaka 4 au mitano haha unamaanisha mashinji ambaye...
  7. M

    Death by a thousand cuts

    I will be the last one to believe on this, everything on earth has got its flourishing and dropouts, some can can be natural or man made, Chadema saga is man made which I so believe it will be for few days but if they will take some proper measure they will be on top and many of us we will...
  8. M

    Rais Magufuli, weledi unahitajika kwenye hili, ukivimba tunapasuka

    Onyesha mradi ambao marekani kama taiefa amew
  9. M

    Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Acha umbumbu na ujuha technologia ndio msingi wa kila kitu unaweza ukawa na cash zako usiweze kufanya kitu chochote, hamna taifa lililoendelea kwa kutegemea cash na hakuna MTU aliyeendelea kwa kutegemea rasilimali fedha pekee Bali tunaendelea kwa kutegemea technolojia, mipango endelevu na...
  10. M

    Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Maendeleo yoyote lazima yaanzie kwa wananchi, sekta ya madini lazima iheshimiwe, na wawekezaji lazima wsheshimiee pia, Sera rafiki za kuikwamua sekta hii ni muhimu, huwezi kuendelea kwa kutegemea sekta moja lazima zishirikiane na sekta zingine ili kuukwamua na kuunusuru uchumi wetu. Msisimuko wa...
  11. M

    Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Nineupenda sana uchambuzi wako hizi ndio ajili ninazosema zipo nje ya mfumo rasimi tukaajiri mazwazwa yasiyojua lolote sector ya madini IPO kwa ajili ya kustimulate other sectors sio kwa ajili ya kuchukua Kofi za muda mfupi yenyewe IPO kwa ajili ya kutupa msukumo wa kimiundombinu bora, Umeme...
  12. M

    Mabadiliko ya Profesa Kabudi kwenye sheria ya madini yanalitesa Taifa. Nini kifanyike?

    Ahsante sana mtoa mada kwa elimu nzuri uliyotupatia bila kupepesa umeitumia elimu yako sawia na ubobezi wako katika sekta tajwa ni kweli kuna mafanikio lakini ni ya muda mfupi sana tayari sekta ya madini imeanza kudumaa kwani ni sekta inayohitaji mtaji mkubwa na makampuni makubwa yrnye mitaji...
  13. M

    Tumeacha mambo ya Msingi tunajadili upuuzi!

    Umeandika jambo lenye manufaa makubwa kwa taifa sisi kama nchi tunabakia katika siasa uchwara zisizokuwa na mbele wala nyuma. Ili tuendelee inabidi tuondokane na fikra potofu za kisiasa na kiutendaji na lazima nchi ijikite kwenye maendeleo ya watu badala ya vitu nilaima tuangalie watu wetu...
  14. M

    IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

    Kama nilivyowahi kusema hapo kabla kwamba viongozi wetu ndio cancer ya uchumi wetu na hawajawahi kuwa na dhamira ya kweli ya kutukwamua kwa sababu ya kuendekeza hoja uchwara zisizokuwa na mashiko. Tuna pia wafanyakazi mambumbumbu wasiojua lolote na wapi kwa ajili ya matumbo yako tu huku watu...
  15. M

    IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

    Mkuu ninakubaliana na wewe kabisa, umbbumbu wa viongozi na kukumbatia msilahi yako pamoja na ya familia zao ndiyo yanayotufikisha hapa tulipo, hatujapatavna wala hatujawahi kupata viongozi wenye uchungu na hii nchi ambao wanaweza kuyapigania kwa uchungu masilahi mapanavya watanzania na nchi kwa...
  16. M

    IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

    Mk Mkuu Ciril sio kkwamba chadema nimewaweka kimakosa viongozi wetu wakuu badala ya kudeal navuchumi wamekua wakideal na mambo ya kuiangamiza chadema na upinzani yaani hapa ni sawa na kufanya chadema adui yetu mkubwa badala ya umasikini. Pia hoja kwamba serikali imeajiri vilaza na kuwaacha watu...
  17. M

    IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

    Mwachumi huwa wanaangalia mambo mengi katika kukua na viashiria vinavyoonyesha ukuaji wa uchumi, tatizo letu tumebakia katika blabla za kisiasa na matumbo yetu bila kupambana kuiondoa nchi katika aibu ya umasikini. Vitu vinavyoweza kutuondoa katika dimbwi la umaskini ni kuboresha mambo yafuatayo...
  18. M

    Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    Tatizo yeye aliteuliwa kwa mdomo alafu anajiudhulu kwa barua kama yeye aliteuliwa kihuni angejiudhulu kihuni pia
  19. M

    IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

    Serikali INA kitu cha kufanya ili kuhakikisha kwamba inakuza uchumi wa nchi cha ajabu serikali yetu imeajiri vilaza serikalini na watu wenye ajili wako nje ya Utumishi wa umma,vsiasa pia zinatuharibia nchi yetu mambo ya uccm na uchadema yanaisababisha nchi kutopanga mipango madhubuti ya uchumi...
Back
Top Bottom